Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wakati kuna tatizo mnalalamika.
Pia tatizo linatatuliwa mnalalamika WTF.
Sio kila kinachotatuliwa basi conclusion kilitengenezwa makusudi ila kitatuliwe hii ni primitive thinking na mental laziness...
#ZILIZOTUFIKIA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa atakutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile pamoja na wataalamu kuzijadili Kanuni za Sheria ya Fedha ya mwaka 2021/22 iliyo anzisha tozo za simu...
Exactly.
Kwahiyo unatarajia Rais awe anasoma miswada inayotoka bungeni?! Like serious?! Na pia unatarajia Rais awe anasoma mikataba?! Hivi una habari mikataba inakuwa na lugha za kisheria huku rais anaweza kutoka kwenye taaluma yoyote ile including Sayansi Kimu?Huyu raisi sio msomaji kabisa, sijui mikataba anayosaini Hali ipoje
Kwani hiyo sheria si yeye ndio aliidhinisha?tuache kumtetea kila kitu anakijua sana!!ni kule kutuona wajinga tu, tengeneza tatizo, kisha litatue upate ujiko wa kisiasa!!Na bado! Tumsaidie Mama kuondoa uozo wote:
Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...www.jamiiforums.com
Nchi ni yetu waliyo nayo ni dhamana tu.
Usishangae kuona wajinga fulani wakinengua na kukata viuno eti kuipongeza ccm. Kilangila.kama kawaida ya ccm
tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Kodi zinaweza kupunguzwa lakini hazikwepeki kama kweli tunataka kufikia uchumi wa juu.
Tunaweza kuwa wabunifu wa uzalishaji mali lakini kodi ni muhimu sana.
Wasomi wa ku plegiariseEti Rais, makamo wa Rais na waziri wake wote wasomi wa uchumi!!
Nafikiri ni uchumi wa maganda ya korosho.
Huku mtaani nawapa tu taarifa mpesa zishaanza kufungwa.
Failed state!
Kwani hiyo sheria si yeye ndio aliidhinisha?tuache kumtetea kila kitu anakijua sana!!ni kule kutuona wajinga tu, tengeneza tatizo, kisha litatue upate ujiko wa kisiasa!!
kama vile yeye na genge lake walikuwa hawayajui haya...Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."
"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
Mkuu hii picha naigeuza geuza lakini sielewi ni nani hawa?Mheshimiwa waziri[emoji116]CCM kuchukua madaraka ya hii nchi ni tulipigwa pakubwa sana.
View attachment 1859372
wananchi hawa hawa unaowasifia ni vigeugeu balaa wakipata fursa.....take an example comrade polepole,kabudi baada tu ya neema kuwatembelea saizi wamekuwa zero brainKumbe Wananchi wanauelewa Mpana wa Masuala ya KODI kuliko Mawaziri Wananchi ndio Wamegundua kuwa KODI hii MBAYA
Zakia Megji waziri wa fedha kipindi cha Jakaya nasikia akikuwa anasainishwa tu mikaratasi bila hata ya yeye kusoma ndio maana majamaa yalikuwa mafisadi balaa
Nimesgangazwa kuona maagizo ya Rais kwa Waziri wa Fedha eti waangalie upya suala la Tozo za simu!
Hivi Rais alikuwa hajui ataenda kuingiza Tsh ngapi mpaka sasa ndo anakuja kukurupuka kama hajui lolote hivi!
Yaani Wizara inaandaa bajeti, bajeti inaenda bungeni inajadiliwa, inapita alafu sasa anatoka Burundi huko anakuja kusema angalieni upya! Futa kabisa maana huko tunalipa VAT.