Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Tuliwaambia hamuwezi mkang'ang'ania oooh tunaweza tukiwezeshwa haya Sasa ona mnapotupeleka
 
Yaani wakati kuna tatizo mnalalamika.
Pia tatizo linatatuliwa mnalalamika WTF.

Sio kila kinachotatuliwa basi conclusion kilitengenezwa makusudi ila kitatuliwe hii ni primitive thinking na mental laziness...

Mkumbo upi na vitu viko wazi tu, wewe ni mjinga mmoja unayejua kuandika tu.Hao unaowatetea wangefanya tu utafiti wa watu hata mia tu wangeona reaction ya wananchi ikoje.Huwezi kutunga sheria ya kipumbavu kama hiyo halafu utegemee wananchi wareact positive!.

Sijui labda wananchi wa huko unapokaa wewe.Stupid.
 
#ZILIZOTUFIKIA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa atakutana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile pamoja na wataalamu kuzijadili Kanuni za Sheria ya Fedha ya mwaka 2021/22 iliyo anzisha tozo za simu...
IMG-20210719-WA0088.jpg
 
Huyu raisi sio msomaji kabisa, sijui mikataba anayosaini Hali ipoje
Kwahiyo unatarajia Rais awe anasoma miswada inayotoka bungeni?! Like serious?! Na pia unatarajia Rais awe anasoma mikataba?! Hivi una habari mikataba inakuwa na lugha za kisheria huku rais anaweza kutoka kwenye taaluma yoyote ile including Sayansi Kimu?

Rais asome mikataba wakati Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Timu yake wanafanya kazi gani? Rais asome miswada inayotoka bungeni wakati wasaidizi wake kama Chief Secretary anafanya kazi ipi?

Btw, mkataba umeshapitishwa bungeni, unatarajia Rais aukane kwa mamlaka ipi? Endapo rais hakubaliani, anachoweza kufanya ni kuurudisha muswada husika bungeni kwa sababu ni Bunge ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, rais kazi yake ni kupitisha tu kile mlichokubaliana bungeni.
 
Na bado! Tumsaidie Mama kuondoa uozo wote:


Nchi ni yetu waliyo nayo ni dhamana tu.
Kwani hiyo sheria si yeye ndio aliidhinisha?tuache kumtetea kila kitu anakijua sana!!ni kule kutuona wajinga tu, tengeneza tatizo, kisha litatue upate ujiko wa kisiasa!!
 
Kodi zinaweza kupunguzwa lakini hazikwepeki kama kweli tunataka kufikia uchumi wa juu.

Tunaweza kuwa wabunifu wa uzalishaji mali lakini kodi ni muhimu sana.

Bwana Phillipo Bukililo nia yetu iko wazi:


Tumedhamiria kwa dhati kumsaidia Mama kama watanzania wazalendo, kuuondoa uozo wote. Tunaamini, kama watanzania tunastahili mustakabala ulio bora zaidi.

Kwenye hilo mnaweza kuchagua kuungana nasi au kutulia. Uchaguzi ni wenu.

Habari ndiyo hiyo
 
Eti Rais, makamo wa Rais na waziri wake wote wasomi wa uchumi!!

Nafikiri ni uchumi wa maganda ya korosho.

Huku mtaani nawapa tu taarifa mpesa zishaanza kufungwa.

Failed state!
Wasomi wa ku plegiarise
 
Makampuni ya simu yana mwezi mmoja tu wa kuvumilia kushuka kwa mapato yao kupitia hii miamala, baada ya hapo watatoka kupinga hizi Tozo na kuungana na wananchi
 
Kwani hiyo sheria si yeye ndio aliidhinisha?tuache kumtetea kila kitu anakijua sana!!ni kule kutuona wajinga tu, tengeneza tatizo, kisha litatue upate ujiko wa kisiasa!!

U Mbagusiro wao sisi unatuhusu nini?

IMG_20210719_113908_861.jpg



Kwanini tupambane na wote kwa mpigo? Mmoja mmoja ndiyo inapendeza zaidi.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.

"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."

"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
kama vile yeye na genge lake walikuwa hawayajui haya...

ILIPASWA KWANZA TUELIMISHE NA MAONI YA WADAU NDIO WA IMPLIMENT HIO TOZO NA SI KUKULUPUSHANA .....bladfaken those involved in this shit
 
Zakia Megji waziri wa fedha kipindi cha Jakaya nasikia akikuwa anasainishwa tu mikaratasi bila hata ya yeye kusoma ndio maana majamaa yalikuwa mafisadi balaa.
 
Kumbe Wananchi wanauelewa Mpana wa Masuala ya KODI kuliko Mawaziri Wananchi ndio Wamegundua kuwa KODI hii MBAYA
wananchi hawa hawa unaowasifia ni vigeugeu balaa wakipata fursa.....take an example comrade polepole,kabudi baada tu ya neema kuwatembelea saizi wamekuwa zero brain
 
Zakia Megji waziri wa fedha kipindi cha Jakaya nasikia akikuwa anasainishwa tu mikaratasi bila hata ya yeye kusoma ndio maana majamaa yalikuwa mafisadi balaa

😂😂😂😂😂😂
 
Wanatengeneza tatizo na kulitatua halafu wanataka wasifiwe

Nimesgangazwa kuona maagizo ya Rais kwa Waziri wa Fedha eti waangalie upya suala la Tozo za simu!

Hivi Rais alikuwa hajui ataenda kuingiza Tsh ngapi mpaka sasa ndo anakuja kukurupuka kama hajui lolote hivi!

Yaani Wizara inaandaa bajeti, bajeti inaenda bungeni inajadiliwa, inapita alafu sasa anatoka Burundi huko anakuja kusema angalieni upya! Futa kabisa maana huko tunalipa VAT.
 
Back
Top Bottom