Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Halafu huyu mjamaa 2030 atakuwa front kabisa kwenye kutaka urais... Mungu atusaidie.
 
Hii ni mbaya sana kwa taifa linalohitaji kuendelea. Kwamba zinapitishwa sheria za majaribio! Kuona kama wananchi watazikubali ama kuzikataa!

Kama ni hivyo basi kunahaja ya kupitia kwa wananchi kabla sheria yoyote haijapitishwa na bunge. Ama kwa maneno mengine wabunge wameshindwa kutuwakilisha vyema katika hili.
 
Natofautiana na wewe. Wanaohitajika ni wachumi wabobezi maana wana uwezo wa kuangalia kile kinachoitwa picha kubwa. Finance ni sehemu moja tuu ya uchumi...

Ndugu haswa wewe ndio umeiweka vizuri. Ona kwamba wachumi wengi wako central bank (BOT) exactly huko ndio kwao na sio wizara ya fedha. Hapana Finance sio sehemu moja ya uchumi - hapo ndio wengi mnachanganya. Labda useme uhasibu ndio sehemu moja ya Finance. Pia usichanganye Finance na Uhasibu hivi vitu ni viwili tofauti. Ndio maana chuoni kama UD utakuta Bcom ina mchepuo wa Finance na Accounting ni michepuo tofauti kabisa.

Inshort na kwa haraka haraka Finance is the science of funds management. The field of finance deals with the concepts of time, money, and risk and how they are interrelated. It also deals with how money is saved, spent, and budgeted. Also Finance is a broad term that describes activities associated with banking, leverage or debt, credit, capital markets, money, and investments. Basically, finance represents money management and the process of acquiring needed funds. Finance also encompasses the oversight, creation, and study of money, banking, credit, investments, assets, and liabilities that make up financial systems.

Now angalia nini maana na wanchofundishwa wachumi - Economics is a social science concerned with the production, distribution, and consumption of goods and services. It studies how individuals, businesses, governments, and nations make choices about how to allocate resources. Economics focuses on the actions of human beings, based on assumptions that humans act with rational behavior, seeking the most optimal level of benefit or utility.

Mwenyewe chambua nani hapo anatakiwa kuwa BOT na nani anatakiwa kuwa Wizara ya Fedha.
 
Huyu Waziri wa Fedha hafai kabisa kama ambavyo hakuwahi kufaa siku za nyuma.

Wananchi ndiyo mjue madhara ya kupewa T shirt na Kanga za CCM.

Hawana jema hao,kesho utawasikia nchi ina raslimali nyingi hii ,nchi yetu tajiri zinamsaidiaje mwananchi wa kawaida mpaka uanze kumbebesha kodi za uzalendo.
 
Hiki kiwango cha tozo kinacho tozwa kwenye miamala ya fedha ni bunge ili panga hivi viwango au ni ofisi ya waziri wa fedha?

Yaani baada ya bunge kupitisha kukawekwa kanuni inayo mruhusu waziri husika kupanga hivi viwango??
 
Kichwa cha habari na ujumbe uliopo ni sawa na mwanamke aliyetumia mkorogo ambao umemkubali usoni na kumkataa miguuni.

Sura milinda orange miguu Pepsi
 
Ndugu haswa wewe ndio umeiweka vizuri. Ona kwamba wachumi wengi wako central bank (BOT) exactly huko ndio kwao na sio wizara ya fedha. Hapana Finance sio sehemu moja ya uchumi - hapo ndio wengi mnachanganya. Labda useme uhasibu ndio sehemu moja ya Finance. Pia usichanganye Finance na Uhasibu hivi vitu ni viwili tofauti. Ndio maana chuoni kama UD utakuta Bcom ina mchepuo wa Finance na Accounting ni michepuo tofauti kabisa
Secretary of the Treasury wa Marekani, Janet Yellen ana Ph.D in Economics. Aliyemtangulia, Steven Mnuchin nae alikuwa Economist. Rishi Sunak wa Uingereza nae alisomea Economics kabla ya kuchukua MBA. Waziri wa fedha kazi yake ni zaidi ya ku-manage funds za serikali. Yeye sio glorified book keeper.

Huyu kazi yake nyingine, pamoja na ya kuandaa na kusimamia budget, ni kuandaa fiscal policies za nchi ambazo zitatua masuala ya uchumi kama inflation, ukosefu wa kazi n.k. Bahati mbaya wa kwetu wanaangalia zaidi masuala ya budget na sio masuala ya kiuchumi. Waziri wetu wa sasa angevaa kofia yake ya uchumi angejua kuwa hii sera ya miamala itakuwa na athari kubwa kwenye uchumi hata kama kwa kiasi fulani ingeweza kuongeza mapato ya serikali. Amefikiria kama mtu wa finance na sio kama mchumi.

Amandla...
 
Ishu ya Tozo imedhihirisha kwamba wabunge sio wenzetu wale.

Ni wanyonyaji kama wengine tu.

How can a sane person pass a bill like that into law.
 
Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Kwa mara ya kwanza nimetembea na pesa mfukoni leo siku ya nne.
Nikiiweka simu pesa nitaitowaje?
 
Maji yamezidi unga

Screenshot_20210719-184714_Twitter.jpg
 
Kuna ujumbe kwenye picha, PM ame bend kwa nyuma kidogo nahisi amepata manyunyu toka kwa Madelu

Screenshot_20210719-185739_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom