Unafikiri mtu akiwa mpumbavu ana aibu?.....nikuhakikishie Tanzania ina wapuuzi wa kutosha.Sijui wataficha wapi aibu wale waliokuwa wanaipigia debe humu humu jamii forum. Bunge kibogoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri mtu akiwa mpumbavu ana aibu?.....nikuhakikishie Tanzania ina wapuuzi wa kutosha.Sijui wataficha wapi aibu wale waliokuwa wanaipigia debe humu humu jamii forum. Bunge kibogoyo
Kwani hizo tozo zimetoka serikali ya KENYA..!?? Yaani wao watengeneze tatizo halafu wajifanye kulitatua, na watu kama wewe mtoe kongole kwa huyo huyo aliyeleta tatizo...!!!! SHITI YA BULUSerikali SIKIVU.....
Serikali ADHIMU....
KONGOLE KWA VIONGOZI WETU🙏
Ili upate 'Political Mailage' ya kuwa Fool.Tengeneza tatizo kisha ulitatue.
Nimeshamalizana na Fundi leo kwa Kunichimbia Shimo zuri tu la kuwa nahifadhia Pesa zangu pale nikianza Kuzipata kwani kwa sasa sina Hela kutokana na Umasikini ( Unyonge ) wangu ulionitukuka.Mi nafutilia hii tozo kwa umakini mnoo
Wa 3 naweza kukubaliana na ww kwa mwonekano wake wa leo,wkt wakitutangazia watakaa kuziangalia upya tozo [emoji23][emoji23][emoji23]Sifa Kuu za wakutanao kwa Kikao cha utatuzi wa 'Tozo Umiza na Komoa' ni kwamba wa Kwanza ni Muongo sana na ana Dhambi Kubwa ya Kudanganya Kaongea na Maiti na Kumjibu ni mzima, wa Pili anachokivaa Shingoni Kinamzidishia Upuuzi mno Kichwani mwake na wa Tatu ni kama vile Wizara anayoingoza imemsababishia Utaahira kwani yupo yupo tu na haeleweki wakati hiyo Wizara inahitaji Mtendaji mwenye Akili nyingi ambazo kwa bahati mbaya hana.
Usilazimishe niwe naandika utakavyo Wewe sawa? Na iwe mwanzo na mwisho Kunipangia nini cha Kuandika na Mtiritiko wake sawa?You have over talked bro.
Una hoja ila uwasilishaji umekuangusha.
Tuko pamoja mkuu.
Much respect mkuu.Usilazimishe niwe naandika utakavyo Wewe sawa? Na iwe mwanzo na mwisho Kunipangia nini cha Kuandika na Mtiritiko wake sawa?
Na siku zote Uwasilishaji wangu wa Kipekee umekuwa ni Kero kwa Wapumbavu wengi kama Wewe ils kwa Werevu wachache hapa JamiiForums huwa wananielewa.