Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

😂😂 nyie ndio wanafki baadae likitokea tukio mnakuja kusema ndugu zake walijua wakakausha lawama tunapewa kama ilivyo siku zote mchuma janga hula na wa kwao..

Unaongea kama kitu rahisi hiko ingekuwa wewe ni mdogo wake au ndugu wa huyo mwanaume ungejisikiaje ndugu yako kupotezewa muda hapo…

Mimi nachoangalia ni hatari ya mbeleni watu wana maamuzi magumu
Anaweza asijue Leo ila akajua kesho uzuri baba mzazi anamjua mwanae sio kwamba hajulikani.. ingekuwa ni ndani ya ndoa tunapotezea tu ila mtu baba yake yuko hai kiburi kikimuisha atarudi kwa mwanae
 
Yani ww dada yako amekupokea vizuri toka bush na umemkuta na maisha yake leo hii unataka kumnyima riziki?
Sorry nilikuwa nasikiliza wimbo wa benja my friend
 
Sasa kwani akifanya na huyo jamaa siku hiyohiyo alipata mimba.. unajuaje kama walitumia kinga au alikuwa siku salama

Bado sijajua hii story yako ina mantiki ipi
Sio kila sex ni matokeo ya mimba.. huyo jamaa anaweza kuwa alipiga lakini hakuweka mimba
 
Baba wa mtoto ni yule anaye lea mtoto kwa pesa, upendo na muda anaotumia kwa mtoto.

Hicho unachotaka kufanya si busara kabisa muache mtoto apate upendo kutoka kwa baba

Unajua kuna ile mwanaume ndio kila kitu kwa mtoto kiasi kwamba unasema Ngoja ninyamaze tu mtoto apate matunzo
Sasa hapa sioni ambacho kinafanya huyu mwanaume abaki kwenye maisha ya uongo kwamba mtoto ni wake wakati si wake

Najua labda sister anataka mwanae aonekane ana baba ile kupostiwa sijui blablaa ila sio kwamba anataka matunzo maana matunzo ni kidogo sana ila kupiga simu na kumpost ndio kama mvua
 
Ni kweli lakini ni bora mwanaume ajue kuwa anahudumia damu isiyo yake kuliko kujiaminisha..

Umeshawaza kama siku baba wa mtoto akirudi akisema anamtaka mtoto wake au yuko tayari kumuhudumia mtoto wake huyo baba fake utamwambia nini
 
Achana nae kabisa acha kiumbe kikue. We pambania katiba mpya, umenielewa mdogo wangu?

Ngoja nimwambie amchukue mwanae nisije patwa shida mimi siku likijulikana
 
Kaka umekurupuka msome umuelewe vizuri, ye hana shida ila shida ni matunzo kupitia kwake, mi naona kuliko kumwambia jamaa ni Bora ujitoe kupokea msaada wamalizane wao mana badae jamaa atakuuliza kwanini hukunambia

Unajua kuna ile mwanaume ndio kila kitu kwa mtoto kiasi kwamba unasema Ngoja ninyamaze tu mtoto apate matunzo
Sasa hapa sioni ambacho kinafanya huyu mwanaume abaki kwenye maisha ya uongo kwamba mtoto ni wake wakati si wake

Najua labda sister anataka mwanae aonekane ana baba ile kupostiwa sijui blablaa ila sio kwamba anataka matunzo maana matunzo ni kidogo sana ila kupiga simu na kumpost ndio kama mvua
 
Baba wa mtoto ni yule anaye lea mtoto kwa pesa, upendo na muda anaotumia kwa mtoto.

Hicho unachotaka kufanya si busara kabisa muache mtoto apate upendo kutoka kwa baba

Ni kweli lakini ni bora mwanaume ajue kuwa anahudumia damu isiyo yake kuliko kujiaminisha..

Umeshawaza kama siku baba wa mtoto akirudi akisema anamtaka mtoto wake au yuko tayari kumuhudumia mtoto wake huyo baba fake utamwambia nini
 
Acha tu mtoto alelewe na huyo Baba mwingine.

Ukute kati ya hao wawili hakuna baba ake hapo.

Huo tuchukulie kama msaada.

Mwache tu ampost ni Baba ake mdogo 😝
😹😹😹 Akili zako unazijua mwenyewe..!!
 
Acha tu usimwambie. Fanya kama hujui chochote. Hata mtoto usije ukamwambia chochote hapo baadae. Sioni tatizo hao kuwa baba na mtoto. Hata ikiwezekana mpaka tamati ya maisha yao hapa duniani.
 
Baadae kama si Mama au mtoto akikatwa kichwa tunakuja kulaaaaaaaaaaani.

Aiseee UKAHABA UFANYIKE LAKINI SIO HIZO PIGO ZA KUUNA KIUCHUMI
 
ongea na baba halali mwambie mwanao kapewa mtu mwingine amuhudumie,ila kwanza umwambie yeye ni mwanaume wa kupambana na mambo?sio unamwambia anashindwa hata ku handle vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…