Ndugu yako ni mnufaika wa hiyo biashara. Ni kwamba anachukua pesa kwa wanaume wote. Ukiwasanua watakata mirija, na wewe mnakosana pia.Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
We kwani una nini? ebu tulia basi mdogo wangu mbonaa hisikii?Ngoja nimwambie amchukue mwanae nisije patwa shida mimi siku likijulikana
Mwamba akasema achana na sisi, au we ndo unajua leo, mi najua kitambo tu ππMsipende kuleta migogoro kwenye maisha ya wenzenu, Waache watagundua wenyewe.
What if ukimwambia akakaza? Umejiandaa na matokeo ya ulichochagua?
Sasa we unachapa mimba unatembea unategemea nani akulelee mwanao?Ndiyo maana wanawake sikuhizi mnakufa vifo visivyo eleweka kimya kimya, sumu sikuhizi zinakuua bila ushahidi.
Huwezi kumbambikizia mwanaume mtoto akashindwa kuja kujua kwamba amelea si damu yake.
Narudia tena, mtakufa kimya kimya.
KATAA NDOA UIMARIKE KIUCHUMI NA KIAKILI, MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE, ZALISHA TEMBEA
Hahahahaaa, huyo kashikishwa huyo mwenye kitambi kashikishwa dada hapa ni mjiniSasa kwani akifanya na huyo jamaa siku hiyohiyo alipata mimba.. unajuaje kama walitumia kinga au alikuwa siku salama
Bado sijajua hii story yako ina mantiki ipi
Sio kila sex ni matokeo ya mimba.. huyo jamaa anaweza kuwa alipiga lakini hakuweka mimba
π π π Baba wa kujitolea.πΉπΉπΉ Akili zako unazijua mwenyewe..!!
Itakuwa kasheshe ππMwamba akasema achana na sisi, au we ndo unajua leo, mi najua kitambo tu ππ
Mwambie ukweli maana siku akija kujua ukwel, wew ndio utatakiwa kubeba lawama za kwann hukumwambia wakati wote. Amin huyo ndgu yako kategesha mtoto akue ajitegemee kisha amsanue jamaa! Lawama zote zitakua kwako!99% ni wake
Namba yako ya simu sina.Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi kabisa wala hatumsumbui Kwa lolote wala yeye hajawai kupiga simu kumuulizia mtoto wake yuko na maisha yake mengine
Sasa nimekuwa nikiona baba mwinginee akihudumia huyu mtoto.. nilijua labda anafahamu kuwa mtoto sio wake mpk nilipomuuliza mama wa mtoto ndio kuniambia ukweli huu
Huyu mwanaume walikuwaga na mahusiano before baba wa mtoto na alimdanganyaga kuwa ni mjamzito wakati huo alikuwa akiishi na mwanaume mwinginee ambae ndio baba halisi wa huyu dogo
Huyu baba fake anajitahidi kuwa karibu na mtoto na kutuma hela japo sio mara kwa mara maana na yeye anajitafuta bado
Na anapiga simu kuongea vcall mara kwa mara kama baba mpk kwenye mitandao anampost huyu mtoto akiamini ni wake
Nilishamwambia sister amwambie ukweli ili aache kujihusisha na huyu mtoto ila nae Naona haelewekii
Sio kwamba wana mahusiano hapana ukaribu ni kwaajili ya mtoto tu kila mtu ana maisha yake
Sasa mimi nataka nijitoe muhanga kumwambia huyu shemeji.. sasa nitakuwa naingilia mambo ya watu au vipi???
Wacha upimbi wewe! Pikipiki usiyoila yakuwashani? Au mavi usiyoyala wayawingiani kuku? Singo maza unataka na mwenzio arudi kwenye mawe? Unaweza kwenda kumwambia akahisi unamtukana akakukata koo!Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu