Kayataka mwenyewe.. AMekiteka chama na kuanza kuita serikali ya CCM kama Serikali ya Magufuli... Acha Lissu amnyooshe vizuri.. TutaheshimianaMalalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Jitafakari Jo ...jitafakari sana hicho kipaji kikutokeWasalimie migombani!
Anaposema Magufuli kampa tenda fulani.Lissu anakosoa sera sio mtu, anakosoa miundo ya taasisi ndio maana anasema atalifumua jeshi la polisi, Chadema itakuja na sera ya majimbo, ataimarisha uchumi wa kanda zote bila ubaguzi kama anaofanya Magufuli, kusema hivyo ni kumshambulia mtu.
Hakuna aliedai tume utafutwe kutoka kwa malaika, na ndio maana hata hawa waliopo sio malaika.Hakuna anayetafuta 'Tume' toka kwa malaika. Jaribu kutumia akili kidogo alizokujaliya Mwenyezi Mungu.
Kuwa upande fulani ndani ya nafsi yako ni jambo moja,ila kupendelea upande mmoja ni jambo lingine!Nimekukubalia hilo wazo ni zuri, lakini tupate wapi watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa🤔? Kwa mfano wewe ukiwekwa kwenye tume Ni lazima tu utakuwa upande wa CHADEMA, hata Kama ungechaguliwa na Magufuli,ambae yeye Ni CCM.
Anaposhambulia anapaswa kuzingatia katiba ya nchi inasemaje!Huu ulikuwa utawala wa ONE MAN SHOW hivyo anapeleka mashambulizi sehemu sahihi kabisa
Suala la kumuongezea umaarufu halipo kwenye kanuni yoyote ya Tume, Tume inaongozwa kwa Sheria kwa hyo akikutwa na kosa la wazi kabisa asiadhibiwe kwa sababu ya kumpa umaarufu? Hii hoja ya hovyo kabisa na Tume nao wakikubali kuongozwa na hoja dhaifu Kama hizi basi wajue wamepotea.Salaam wana jamvi,leo ni Siku ambayo mgombea urais WA chama cha demokrasia na maendeleo anatakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili.pamoja na mambo mengine yawezekana kamati ya maadili ikamkuta na kosa kulingana na kanuni za uchaguzi,kutokana na hill naomba NEC was one beak at any a kosa Kwa kumpa adhabu ya kumsimamisha kufanya kampeni.maana Kwa kufanya hivyo watakuawanamuongezeavumaarufu na nguvuvzaidi kwenye kampeni zinazoendelea.na wasilisha.
Ni CCM.Je, ni nani anagombea Kiti cha urais? Ni serikali , bunge au ni Magufuli?? Tundu Lissu shikiria hapo hapo
Swali langu limekuwa gumu kwako,kwasababu unalikwepa sana.Subiri hoja za wadau wengine userereke nazo.
Halima Mdee amekimbia Kawe anasubiria ubunge wa viti maalumu!Endelea kukata viuno kwanza baadaye kamtafute Askofu wako Gwajima
Hakika. Anataka kauli kama "sileti chakula sijaleta tetemeko", " ndani ya utawala wangu mwenye hatasoma", "Mimi ni jiwe sishauriki" nk. badala ya kulaumiwa yeye binafsi ilaumiwe serikali?Una kipaji kikubwa Sana cha upumbavu
Hazikufuatwa taratibu yalitolewa maelekezo (kimemo) Subiri muda utazungumzaAnaposema Magufuli kampa tenda fulani.
Wewe inakuingia akilini kweli?
Halima Mdee amekimbia Kawe anasubiria ubunge wa viti maalumu!
Wapi Magu kashambuliwa? Weka ushahidi hapa?Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!Ndizo taarifa za redio ya maskani hapo Lumumba inavyosema ??
Mkuu umejibu vizuri kuliko wote waliojaribu kuikabili hoja yangu hapo juu. Ingawa tukubaliane kwamba hakuna sehemu unaweza kupata watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa.Kuwa upande fulani ndani ya nafsi yako ni jambo moja,ila kupendelea upande mmoja ni jambo lingine! Watu wa Tume ambao ni makada wa CCM wanafanya upendeleo wa wazi kwasababu wanajua wanalindwa na seeikali ya CCM hivyo hawawezi kuchukuliwa hatua za kisheria!Mfano ni hao waliokatwa na wakurugenzi lakini wakashinda rufaa,kungekuwa na kuwajibishwa sidhani kama wangekatwa kinyemela!..
Ngoja nikusaidie kidogo, pamoja na kuona uwezo wako wa fikra ulivyo chini sana. Tume inaweza kuundwa kwa njia mbalimbali na bila ya kutegemea manazi wa chama kimoja pekee.Hakuna aliedai tume utafutwe kutoka kwa malaika, na ndio maana hata hawa waliopo sio malaika.