Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Wadada wenye bikra ingekua rahisi kuwabaini,hakika kila mtu angekimbilia kuwaoa,na kuwaacha ambao hawana.Wasio na bikra,washukuru tu kwamba wanaowafuata kuwaoa,hawajawapata walio na bikra.
 
We niambie kuoa bikra kumekusaidia Nini kimaendeleo
 
Ngoja nipapambe nimpate binti ambaye ajatolewa madamu nikaoe aisee

Ukweli mchungu sanaa mkuu, wanabidi waolewe na waliowatoa bikra haina budi, siwezi kuoa msichana ambae sio bikra... never
Bac hutaoa...🤣Yaani we utoe bikra za watu huko afu unategemea bikra ishuke mbinguni ..labda uoe demu wa la nne
 
Mungu hataki uzinzi hauwezi kuanza kushiriki tendo kabla ya ndoa

Muulize Mungu kwanini? Kaamrisha tufunge ndoa ndio tushiriki tendo
🤣Kumbe unaleta mambo ya Mungu . Bac we tafuta huyo demu wako anaofata hizo sheria za kiarabu na kiyahudi za miaka 1000 iliyopita kuhusu jinsi ya kuishi jangwani umuoe...la sivyo kupata mwanamke aliyesoma na anajielewa kimaendeleo utasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…