Sijakosea kichwa cha habari ni hivi kama haujaoa msichana ambaye ni bikra wewe ni mwanaume mjinga sanaa na ni mzembe
Na ambao bado hamjaoa hakikisheni mnaoa wasichana mabikra, msichana ambaye utamuoa awe ni bikra yaani msichana ambaye sio used ,wewe ndio uanze kumtumia
Acha kufikiria ujinga ni wapo tena wengi tu, wazazi ongeeni na mabinti zenu wazitunze bikra zao msione haibu hata kama ninyi hamjabahatika kuolewa na bikra zenu msitake watoto zenu wawe kama ninyi, na wazazi ongeeni na vijana wenu wahakikishe wanaoa wasichana mabikra msiendeleze ujinga mlioufanya ninyi uendelee , ujinga wa watu waliooa wasichana ambao sio mabikra usiendelee
Kuna raha yake kupata gari halijatumika yaani halijatembea hata km 1 wewe ndio wa kwanza kulitumia, kwanza matatizo ya gari yako wewe ndio utaanza kuyajua na haitakuwa tena na usumbufu Kama likianza kusumbua
Msichana ambaye sio bikra asiolewe, mkiendelea kuwaoa wasichana ambao sio mabikra mtawaendekeza waendelee kutotunza bikra zao ,wasichana wadogo anaoona mnaoa wanawake ambao hawana paswoord
Kinga inapotea kwa msichana ambaye hana bikra, believe me na kwa hili watachukia, ila kama bahati yako umeolewa msaidie kumtunza mwanao aitunze bikra yake, na thamani ya mapenzi hawaijui vizuri , wanaipunguza thamani ya mapenzi wanajua wenyewe % ingine wanaipeleka wapi!!
Kataa kuoa msichana ambaye sio bikra
View attachment 2704135