Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

CCM wanakoleza moto maksudi ili tuungue wote then wao waikimbie Nchi
 
Samia alipoingia madarakani mlisema Mungu ameiponya nchi, eh kumbe bado au yule Mungu n Mungu gn aliyeiponya nchi wakati ule?
Wakati wa John P. Magufuli tuliongozwa na Rais aliyekuwa anaabudu mungu aitwaye "MUNGU BULLDOZER" au "MUNGU JIWE", na kwa jinsi Mungu wa Mbinguni alivyo na wivu kwa jina lake, akakakomesha hako ka - mungu na kuhani wake akafa...

Sasa tuna ka - mungu kanaitwa "MUNGU CHURA KIZIWI WA KIZIMKAZI" au "MUNGU CHIEF HANGAYA" wa Magu - Mwanza..

Malengo na mission yao nibileile moja...

Kuiharibu Tanganyika...

Ku - instigate matendo na ubaya wao ni uleule...

Mission ya miungu ya John P. Magufulj na ya Samia Suluhu Hassan haina tofauti...
 
Wakamatwe wahusika Kwanza wao ndio watamtaja aliyewatuma kwa nini tuishie kuhisi?
 
Nani wa kumpa huo msaada?
 
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    27.8 KB · Views: 23
Waislam tulivyokuwa tunauwa na wengine kuitwa magaidi makafiri walifurahi sana,ngoja na wao yawakute ndo watajua kama ccm si watu.
Huu ulioandika ni uongo wa kishetani kabisa.
Wewe ndiye muislamu wa kwanza anayefurahia "makafiri" kuwakuta hapa JF.
Tafadhali onesha mkristo aliyefurahia waislamu kuuwawa hapa Tanzania.
 
CCM ni wahaini. Wamemaliza kuwaua wapinzani sasa wameanza kuwaua maaskofu. Mmelaaniwa nyie wanaizaya. Damu za wapinzani na maaskofu hazitawaacha salama.
 
Padri Kitima ana matatizo ya afya ya akili kama Lissu. Hawa wanyaturu wana shida ya akili zao wanahitaji matibabu! 🀣
Kumbe huko kwenu anayesisitiza kuhusu haki anakuwa na matatizo ya afya ya akili!!??
Basi nami nina tatizo hilo la afya ya akili kwa kupenda haki itamalaki.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Wanateka na kupiga watu sasa hivi wanajulikana.
 
Mkuu napata ukakasi sana unapojitahidi kuitenganisha CCM ya sasa na haya madudu ya ukatili yanayoendelea kipindi hiki.
Utakuwa hujaelewa 'premise' ninayoitumia mkuu 'Frank Wanjiru'.
Sina chembe hata ndogo kabisa ya kuitetea CCM kama chama kama kilivyo sasa hivi.
Ngoja labda nitumie mfano mwingine unaoweza kusaidia unielewe ninakoelekea kimawazo: WaTanzania wote kwa ujumla wetu tunalaumiwa, na hata tunajilaumu sisi wenyewe kwa kuwa waoga sana wa kuleta mabadiliko hata tunapoumizwa, kama ilivyo sasa.
Hii ni lawama kwetu sote kama waTanzania kwa hali hiyo inayotutofautisha na baadhi ya nchi jirani. Lakini ukweli ni kwamba, siyo waTanzania wote hawataki mabadiliko tuondokane na hali hii ya kutukandamiza chini ya CCM; na kwa uhakika, tunawalaumu CCM wote kwa ukondoo wao; kutoweza kuleta mabadiliko ndani ya chama chao ili sisi sote (waTanzania) tupate ahueni.
Lakini ukweli halisi ni kwamba, siyo CCM wote wanaopendezwa na hali hii. Wengi wao kama wakati huu hawana la kufanya; wamewekwa mateka chini ya uongozi wa Samia; ambaye pengine hata yeye amewekwa mateka tu na wanaomfuga (Genge).
Wewe fikiria mpango uliosukwa kumteuwa Samia kuwa mgombea kwa njia zilizotumika. Kweli unadhani hapo mpango huo ni shirikishi kwa wanachama wote wa CCM?

Ndiyo, CCM kama chama kinastahili lawama; kama sisi sote ,kwa uTanzania wetu tunavyostahili kulaumiwa kwa kuwa waoga wa kuunga mkono kusambaratisha "Genge" dogo tu hili lililomo ndani ya CCM.

Mkuu 'Frank', nipe mrejesho kama maelezo yangu yamesaidia kufafanua ninacholenga kukieleza kwa kutorundika lawama juu ya chama, wakati tatizo lipo kutokana na genge linalokiendesha chama hicho kwa sasa hivi.
Tafadhali naomba unielewe; kamwe sisemi CCM haistahili lawama, hasa kwa hao wanaoweka maslahi yao binafsi mbele ili wabaki na chama ambacho kiukweli ni kama hakipo tena.
 
πŸ“πŸ“πŸ“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…