au siyo,unahalalisha tu!!..na nani aliyesema mashoga wauane!?...kwa hiyo sodoma na Gomorrah mungu aliwaonea!?They are known to be conservatives, makanisa mengine hata ndoa wanawafungisha but sio RC.
Kwa upande wa dini ushoga ni dhambi.
Japo akienda kanisani ama sehemu ingine hatofukuzwa ushoga wake.
Dhambi kubwa tukiamza kuuana ikiwa uchoko wao hauletwi kilazima kwangu.
Tatizo umeingia kwenye mtego wa kufiiri unatetea Ukatoliki. Acha hizo nukuu za BBC, nimesikiliza mahojiano yote. Hata hizo nukuu za BBC anasemaje juu ya Maaskofu wanaopinga hizo haki? Hakuna Kanisa haifanyi kuhitaji yeye kusema wapokelewe! Kwani Kanisa linawakataa? How?Wapi aliposema haki za mashoga? Amezungumzia kuwa ni dhambi, ila sio uhalifu, na ni kweli kabisa. Wewe ukifumaniwa na mke wa mtu leo, hakuna sheria inayokupa adhabu, lakini ni dhambi.
Kumbe! Kutembea na mke wa mtu siyo kosa
Kama mke wa mtu huyo ana miaka 18 au zaidi, na alitoa papuchi yake kiroho safi (kwa hiari) kwa jamaa mwingine (mgoni). Basi mgoni atakuwa hana hatia. Mtego pekee ambao mgoni hapaswi kuuingia ni "kukiri mbele ya hakimu kuwa anafahamu kuwa huyo mwanamke ni mke wa mtu". Kwahiyo wale wazee wa...www.jamiiforums.com
Wewe ulikuwepo huko Gomora?.kwa hiyo sodoma na Gomorrah mungu aliwaonea!?
Alikuwepo babu yakoWewe ulikuwepo huko Gomora?
Acha kiherehere.Alikuwepo babu yako
HAkuna popote pale ambapo Kanisa liliwahi kubariki Mahusiano ya watu wa jinsia moja. Siku zote Kanisa limekua likisema kwamba halibariki mahasiano ya watu wa junsia moja, wala haliungi mkono watu wa jinsia moja wanaoishi kama wenza ku adopt watoto sababu that home won't be a great home kwa watoto hao na hakutakua na funzi jema juu ya maana halisi ndoa na ndiyo mwanzo wa kubomoka kwa mafundisho ya kanisa.Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya Kanisa na Kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja
Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja. Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...www.jamiiforums.com
hoo!,,basi kumbe nishajua na wewe ni mpigwa paipu.haya endelea Papa huyo anawapa surport mkafunge ndoa sasa makanisani.Machukizo mbele za mungu uliongea na sangapi?
Kiherehere tu.
Kwanza ujue kanisa linaundwa kuanzia ngazi ya familia hadi jamii yote kwa ujumla. Sasa kama wewe tu unaonesha kuwa hauko tayari kuwapokea, ni nani ulitaka awapokee kwa niaba yako? Katika watoto wako mmoja wao akiwa shoga, ukimtenga unataka na kanisa limtenge? Yesu mwenyewe alichangamana na wenye dhambi hadi wayahudi wakawa wanasema kwa nini anachangamana nao, kama mnavyosema ninyi humuUkisema ushoga si uhalifu chanzo chake si sheria zilizopitishwa kuwa si uhalifu? Anaposema kanisa liwapokee kwani Kanisa lini limewakataa? Kanisa lifanye nini kipya?
Mwenye kiherehere ni wewe unayeuliza maswali ya kijinga...kuanzia Sasa patakua na vilainishi kanisaniAcha kiherehere.
Acha kiherehere.hoo!,,basi kumbe nishajua na wewe ni mpigwa paipu.haya endelea Papa huyo anawapa surport mkafunge ndoa sasa makanisani.
Umekisikia Joe Biden ame sign sheria kuhalalisha ndoa za jinsia moja! Hizo ndio sheria Pope Francis anazitetea ziwepo! Anapaswa kuwa bold anachotetea ili kuchora mstari!Hizo sheria ndizo hazifai. ZIFUTWE.
Tafuta pesa uache masikitiko.Mwenye kiherehere ni wewe unayeuliza maswali ya kijinga...kuanzia Sasa patakua na vilainishi kanisani
Ni kweli Kanisa halibariki na halitokuja kubariki sababu hakuna mwenye mamlaka hiyo. Ila hizi confusion ndio zinazochanyanga hata waamini na kufikiri Kanisa linalegeza mafundisho yake.HAkuna popote pale ambapo Kanisa liliwahi kubariki Mahusiano ya watu wa jinsia moja. Siku zote Kanisa limekua likisema kwamba halibariki mahasiano ya watu wa junsia moja, wala haliungi mkono watu wa jinsia moja wanaoishi kama wenza ku adopt watoto sababu that home won't be a great home kwa watoto hao na hakutakua na funzi jema juu ya maana halisi ndoa na ndiyo mwanzo wa kubomoka kwa mafundisho ya kanisa.
Pamoja na ukosoaji huo wote, siku zote kanisa limesema lina wajibu kwa watu hao ni si sawa kwa Kanisa na jamii kuwatenga.
Kama Kanisa litawatenga, je ni nini maana ya Kanisa? Na faida ya Kanisa ni nini?
Hata Yesu alisema "hakuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapata kutubu". Sasa kanisa likiwatenga wakatubie wapi? Lipo kwa ajili ya nani?
Jamii inapoharibikiwa inahitaji utulivu na tafakari ili kupata busara ya kuzuia uharibufu huo na si kuruhusu mihemuko kwani ndiyo uharibifu utazidi mara kumi zaidi.
Tatizo liko wapi?Umekisikia Joe Biden ame sign sheria kuhalalisha ndoa za jinsia moja! Hizo ndio sheria Pope Francis anazitetea ziwepo! Anapaswa kuwa bold anachotetea ili kuchora mstari!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sawa muunga mkono uchoko,ukute wewe ndiye mchokonolewaji mkuuTafuta pesa uache masikitiko.
Papa kasema ukweli. Hataki mbambamba na UNAFIQ.
Kwanza si ajabu wewe ndo lifiraji likuu.
Kufanya dhambi ni jambo moja kuwa proud kuifanya na kutaka wengine waifanye ni jambo lingine kabisaHawa keyboard worriors ni wanafiki kuliko kawaida.
Mabingwa wa uzinzi, ufisadi na ufiraji lakini wana ujasiri wa kulaani ushoga!
Papa yuko sahihi sana. Hataki mbambamba na UNAFIQ.
Zote hizo ni dhambi, na hakuna mtu mwenye 'uchumba sugu' aliyetengwa, otherwise haujaelewa maana ya kutengwa. Ukitengwa na Kanisa, siku ya kurudi ni lazima ukiri upya imani mbele ya kanisa. Pengine labda unachanganya kati ya kuzuiwa sakramenti na kutengwa. Wenye vizuizi vya sakramenti hawajatengwa, na kila siku huwa tunao jumuiyani na makanisani ili waelewe umuhimu wa kuishi katika ndoa takatifuKwa muktadha huu saa iwe rasmi kitu kinachoitwa uchumba sugu katika kanisa kifutwe, na watuhumiwa wa uchumba sugu kama wawaitavyo wapokelewe katika kanisa.
Ifike sasa kanisa kitambue ndoa ya mke zaidi ya mmoja, hiini kwa definition ya papa kuhusu dhambi na uhalifu.