General hajakosea, kwa sababu Mungu na wahuruma sana, kwake Mungu pamoja na kuwa hiyo dhambi ya kukufuru Roho mtakatifu isiyo sameheka lakini bado asilimia kubwa ya maandiko ya Mungu yana msema ni mwenye kusamehe na kusahau, vipi ikiwa umemkufuru Roho ukatubia hatakusamehe na kusahau hilo kosa? Japo maelezo ya kina ni namna gani hiyo inayoweza kumkufuru Roho hakuna anae weza kutuambia.

(Nisamehewe kusema hivi) alichokosea Papa ni amejaribu kuwatetea kwa namna fulani kama kosa la kawaida kwa hao ndugu wa mapenzi ya jinsia moja, ubaya wa haya makosa ni kwa kizazi na kizazi, kama kizazi kilichotutangulia kingeachilia mianya kama hii unadhani hali ingekuwaje kwa sasa.

Ijulikane mwanaume ndiye anasimamisha kila kilicho simama, kuanzia familia taifa dini na dunia kwa ujumla, wengi wetu tumeona jinsi walivyo wanaume wanaoingikiwa jinsi walivyo, ni dhaifu sana, imagine asilimia zaidi ya 60 ya vijana wote wawe hivyo! Unadhani kuna kinachoweza kuwa kama kilivyo ? Kutakua na dini na kutakua na hao mapadre kweli?
Vipi kwa taifa ,vipi kwa familia na jamii kwa ujumla?

Kinachopaswa ni kupinga, kukataza, kukemea , kuchukua hatua kali hata kwa gharama ya uhai , ili kuokoa kizazi kijacho.

I'm so sorry kwa maoni yangu
 
Inawezekana anaizungumzia nchi aliyopo kuwa sio kosa. Nchi inayoamini ni kosa na iendelee kuwa hivyo ila yeye ameona sio uhalifu bali ni dhambi kama dhambi nyingine.
 
Zote mbili ni za kiwaki tu, kwani ungezaliwa china-budha, Europe-christians,india-hinduism ukija afrika ni majanga tu??

Kwa hiyo MUNGU, akija kutuadhibu je atanzia zama zile ambapo dini hailuwepo au zama hizi za kina gwajima,mwamposa na mazinge??
Kaka unatafuta ugomvi na wabantu wa JF!!!!!Wao wapo brain washed na Islamic naization na Christianism!!!!!Mpaka wanaukana uafrika wao!!!!Wanawaona wazungu na wayahudi na waarabu miungu watu kaka!!!!Unataka ugomvi kaka
 
Ukiacha Ukatoliki sababu ya mtu hata Papa maana yake bado hujaijua imani. Jikite kujifunza imani hutoyumbishwa na kiumbe yeyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana anaizungumzia nchi aliyopo kuwa sio kosa. Nchi inayoamini ni kosa na iendelee kuwa hivyo ila yeye ameona sio uhalifu bali ni dhambi kama dhambi nyingine.
Papa ni kiongozi wa dini Duniani lakini,tena Dini yenye nguvu na ushawishi mkubwa tokea karne nyingi!.
 
Kama sio kosa, dhambi inatoka wapi? Huenda Mungu anafurahia kitendo cha watoto wake kugundua aina ya starehe.
 
Kaka unatafuta ugomvi na wabantu wa JF!!!!!Wao wapo brain washed na Islamic naization na Christianism!!!!!Mpaka wanaukana uafrika wao!!!!Wanawaona wazungu na wayahudi na waarabu miungu watu kaka!!!!Unataka ugomvi kaka
huo ugomvi naupata kuanzia kwenye familia yetu hata jamii inayonizunguka.

Jana nimekutana na sheikh mmoja wa mitaa ya home kaniuliza Mbona huonekani??, nikamwambia mambo mengi tu. Alivyoondoka mi nikamwangalia kisha nikajisemea "colonialism was a deadly weapon*
 
Bora yeye kawa muwazi kuliko lile dhehebu ambalo kila alhamis wanasema ni halal wanawake kuliwa ndogo na pia kuruhusu wanaume kujiremba kwa kupaka hena kama wanawake sasa hapo hakuna tofauti na ushoga au huijui kaka hiyo dini?????!!!Bora papa kawa muwazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…