Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
kwani personally me unanifaham mkuu?Leo unajidai ww sio mkatoliki jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani personally me unanifaham mkuu?Leo unajidai ww sio mkatoliki jamaa.
Kaka yaani unataka na sisi tuamini maoni yako??????Wewe ni mroma au unaongea kishabiki na mahaba ya kidini kwa upande flani hiviMbona biblia washa edit hasi biblia wanazo tumia waroma zima walakin kibao
Bro unataka upinge hilo swala??Ungekuwa fair katika mjadala huu kama ungelitaja kwa jina Jimbo ambalo mbele ya Mungu unashuhudia kuwa ndugu walihukumiwa kwa kosa la ndugu yao
GENTAMYCINE ndugu yako huyu hapa, haya malizanenikwani personally me unanifaham mkuu?
General hajakosea, kwa sababu Mungu na wahuruma sana, kwake Mungu pamoja na kuwa hiyo dhambi ya kukufuru Roho mtakatifu isiyo sameheka lakini bado asilimia kubwa ya maandiko ya Mungu yana msema ni mwenye kusamehe na kusahau, vipi ikiwa umemkufuru Roho ukatubia hatakusamehe na kusahau hilo kosa? Japo maelezo ya kina ni namna gani hiyo inayoweza kumkufuru Roho hakuna anae weza kutuambia.Huwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread
Papa hajasema ushoga sio dhambi na hana mamlaka hiyo ya kuihalalisha dhambi maana ukisema anayo bhasi utaamini papa yupo juu ya mamlaka ya Mungu, kitu ambacho si kweli
Ila kitu alichomaanisha
"Kila uhalifu ni dhambi Ila si kila dhambi ni uhalifu"
Ndio maana hata wewe upo huru kuisaliti ndoa yako utakavyo pasipo dini kusema upigwe mawe kwa sababu si uhalifu
Kingine Mungu aliiteketeza sodoma na Gomorah kwa sababu ya homosexuality lakini gharika ya Mungu iliteketeza kila mtu. hata Yona alitumwa kuwahubiria watu wa ninawi kuwa hasira ya Mungu ipo juu yao na mji ungeteketezwa
Hivyo, utaona kuwa HASIRA YA MUNGU IPO KATIKA KILA UHARIBIFU NA UCHAFU TUNAOUFANYA
Na kama haitoshi, biblia ikaainisha wazi kuwa ni dhambi gani isiyosameheka
M A R K O 3:28-29 “Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele”.
Hivyo, wewe mzinzi, mlevi, msengenyaji, mwizi na kila aina ya dhambi, HASIRA YA MUNGU IPO JUU YETU SOTE lakini Mungu kwa rehema zake, wote ni wake na tunastahili msamaha wake tukijinyenyekeza na kufanya toba
Hivyo,kwa kauli hii, papa hajakosea [emoji1431][emoji1431]
Mbona kama unaandika huku unadondosha machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga kibiriti mashoga wote na vitu vyao iwe nguo,nyumba n,k piga moto msije mkaacha maagano yaawavagaa kizazi kilicho baki,piga moto mpaka kandambili.
huyo mshamba sina undugu nae mkuu!GENTAMYCINE ndugu yako huyu hapa, haya malizaneni
Inawezekana anaizungumzia nchi aliyopo kuwa sio kosa. Nchi inayoamini ni kosa na iendelee kuwa hivyo ila yeye ameona sio uhalifu bali ni dhambi kama dhambi nyingine.ipo siku Papa atasema kanisa linakubaliana na ushoga,nasema ipo siku kama sio Papa huyu basi anaefata.
Kuna haja gani sasa ya kusema ushoga sio kosa wakati zipo nchi ushoga ni kosa na wanahukumiwa?,kiongozi wa Dini jambo kama hili baya la ushoga alitakiwa anyooke kwamba ushoga ni dhambi full stop.
Hili uliambiwa bar au kanisani!?IHliusisahau na lile dhehebu ambalo kila alhamisi wanawake wanasema ni suna kuliwa ndogo na watoto wa kiume kupaka hena!!!Kweli kabisa kaka madhehebu au imani ni watu
Kaka unatafuta ugomvi na wabantu wa JF!!!!!Wao wapo brain washed na Islamic naization na Christianism!!!!!Mpaka wanaukana uafrika wao!!!!Wanawaona wazungu na wayahudi na waarabu miungu watu kaka!!!!Unataka ugomvi kakaZote mbili ni za kiwaki tu, kwani ungezaliwa china-budha, Europe-christians,india-hinduism ukija afrika ni majanga tu??
Kwa hiyo MUNGU, akija kutuadhibu je atanzia zama zile ambapo dini hailuwepo au zama hizi za kina gwajima,mwamposa na mazinge??
Wewe ndo bogus kabisa ya uhalalishe Haram Moja kisa watu wanafanya Haram nyingine kuwa halali badala ya kupiga vita Haram zoteUzinzi ni dhambi kubwa sawa na ushoga nashangaa watu wanafanya Uzinzi then wanaona sio dhambi hizi nchi za Dunia ya tatu zina wajinga wengi ktk Mambo ya dini.
Kwa hiyo nani aliiba idea ya jina la mwenzie?? GENTAMYCINEhuyo mshamba sina undugu nae mkuu!
Ukiacha Ukatoliki sababu ya mtu hata Papa maana yake bado hujaijua imani. Jikite kujifunza imani hutoyumbishwa na kiumbe yeyote.Huyu papa siye kabisa toka day one. Huu ukatoliki naweza uacha tu.
Ona sasa hata uhalalishaji wake ni kauli za kitatakitata mtupu.
Hivi mwanaume kwa mwanaume wakioana mbona hata ile kutimiziana ni jambo la kulazimisha katika uchafu?
Hata isingekuwa imani au dini au kitu gani, ile asilia pekee inagoma kabisa?
Ni uchaguzi wa kishenzi hata wanyama hayawani hawaendekezi.
Lakini una shangaa wapo viongozi wa imani wana jaribu kushawishi ueneaji wa tabia hovyo kabisa.
Kwamba kiongozi wa imani ana chagua mashoga kama kundi la kutetewa kwa nguvu zote katika makundi yote yanayoteseka hapa duniani.
Kuna maskini, wagonjwa, wanaokufa vitani sehemu mbalimbali duniani nk.
Hao wote si kitu. ila mashoga waonewe huruma kweli? Yaani baba aone huruma kwa mwanae wa kiume kutaka kuolewa na mwanaume mwenzake?
Sasa naafiki kuwa kazi ya shetani inaelekea kufanikiwa.
Nadhani huku Afrika imefika wakati kuachana na hizi imani za kuletwa.
Maana ni uthibitisho kuwa zilitumika kwa malengo ya kutuangamiza kimwili na kiroho.
Inakera.
Papa ni kiongozi wa dini Duniani lakini,tena Dini yenye nguvu na ushawishi mkubwa tokea karne nyingi!.Inawezekana anaizungumzia nchi aliyopo kuwa sio kosa. Nchi inayoamini ni kosa na iendelee kuwa hivyo ila yeye ameona sio uhalifu bali ni dhambi kama dhambi nyingine.
Hakupaswa kuonedha kufungamana nao kwa aina yeyote ile, kuwapokea na kuishi nao kwa upendo ni kusapoti kile wanachokifanya kuwa n sahihiUlitaka aseme mashoga wauwawe?
huo ugomvi naupata kuanzia kwenye familia yetu hata jamii inayonizunguka.Kaka unatafuta ugomvi na wabantu wa JF!!!!!Wao wapo brain washed na Islamic naization na Christianism!!!!!Mpaka wanaukana uafrika wao!!!!Wanawaona wazungu na wayahudi na waarabu miungu watu kaka!!!!Unataka ugomvi kaka
Bora yeye kawa muwazi kuliko lile dhehebu ambalo kila alhamis wanasema ni halal wanawake kuliwa ndogo na pia kuruhusu wanaume kujiremba kwa kupaka hena kama wanawake sasa hapo hakuna tofauti na ushoga au huijui kaka hiyo dini?????!!!Bora papa kawa muwaziipo siku Papa atasema kanisa linakubaliana na ushoga,nasema ipo siku kama sio Papa huyu basi anaefata.
Kuna haja gani sasa ya kusema ushoga sio kosa wakati zipo nchi ushoga ni kosa na wanahukumiwa?,kiongozi wa Dini jambo kama hili baya la ushoga alitakiwa anyooke kwamba ushoga ni dhambi full stop.
Ni sawa. Na ameongea ukweli. Sio uhalifu bali ni dhambi. Kakosea wapi?Papa ni kiongozi wa dini Duniani lakini,tena Dini yenye nguvu na ushawishi mkubwa tokea karne nyingi!.