Ni wapi imeonyesha kaisemea dunia nzima? Kuna nchi hata haiutambui ukristo, na sio wakristu wote kiongozi wao ni papa.
Papa ni kwaajili ya wakatoliki.
 
Kwenye macho ya Mungu wote nyinyi ni wachafu wafanya zinaa,
Shoga na wewe mtembea na mke wa mtu tena wewe hukumu yako ilikua upigwe mawe hadi ufe,
Wazinzi msijitete
Ushoga usiufananishe na uchepukaji wetu πŸ˜‚πŸ˜‚ japo zote ni dhambi mbele za Mungu hakuna anayepinga.

Ila Ushoga ni zaidi ya kuwa tu dhambi!

Miye nayechepuka na mke wa mtu tunatumia njia halali za tendo la ngono ila hatuna tu LESENI ya kuhalalisha hako kamchezo ketu πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa wewe mashoga unaowatetea sijui nisemeje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo Papa ameongea tendo hilo siyo uharifu, kwa niaba ya nchi gani.
 
Mjibu hivi," Ile sehemu imetengwa maalumu kwa kazi hiyo, kinyume na hapo ni unajisi"
Nakujibu,
Imetengwa kwa ajili ya kupitisha uzao ila kwenye sex hakuna mipaka as long as wote mmeridhia na hakuna madhara.
 
Mkuu naomba unitumie hiyo video mashoga wakifungishwa ndoa. Kiukweli imenipita.
 
Ndo maana hizi Dini sometimes nahisi ni mpango wa wazungu kututawala kifikraaa waafrika very stupid...fwakenii
 
Acha unafiki wewe sio mkatoriki
 
Ni member wa freemason yule aliyekufa alipinga akaona kuliko kumkosea MUNGU ni bora anawe asiwe na hatia
Hakika watu wanamuongelea siku nyingi sana.
Ila leo nimehakikisha mwenyewe kuwa ni mmoja kati ya Ma Anti Christ.
Wasabato wana hoja ya msingi kuhusu Papa.
 
Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]
Mtu yeyeto anaependa Sana kukojolewa akili yake huwa na shaka.
Mwanamke mzinzi na asiye mzinzi thinking zao zipo tofauti mzinzi huwa na low thinking. Huwezi ukawa mwanaume shoga then uwe smart kichwani.
Mwanamke kukojolewa ni asili lengo kuu ni kuendeleza uzao wa Mwanadamu, mwanaume kukojolewa ni kuondolewa utu wake.
 
Nyote ni Wazinifu bhana usitake kuleta mambo mengi, tena nyie mnaojisifu kutembea na wake za watu si ndio nasikia hua kuna mafuta mnapakwa au? πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…