Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Jambo uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika kwenye nchi yako kutembea na mke wa mtu au kufanya uzinzi sio uharifu lakini kuna baadhi ya nchi ukitembea na mke wa mtu unahesabika kama uharifu mwingine na unaenda jera.
Hivyo papa hapaswi kuisemea dunia nzima .
Ni wapi imeonyesha kaisemea dunia nzima? Kuna nchi hata haiutambui ukristo, na sio wakristu wote kiongozi wao ni papa.
Papa ni kwaajili ya wakatoliki.
 
Kwenye macho ya Mungu wote nyinyi ni wachafu wafanya zinaa,
Shoga na wewe mtembea na mke wa mtu tena wewe hukumu yako ilikua upigwe mawe hadi ufe,
Wazinzi msijitete
Ushoga usiufananishe na uchepukaji wetu 😂😂 japo zote ni dhambi mbele za Mungu hakuna anayepinga.

Ila Ushoga ni zaidi ya kuwa tu dhambi!

Miye nayechepuka na mke wa mtu tunatumia njia halali za tendo la ngono ila hatuna tu LESENI ya kuhalalisha hako kamchezo ketu 😂😂

Sasa wewe mashoga unaowatetea sijui nisemeje 😂😂😂
 
Jambo uhesabika kama uharifu kutokana na sheria ya nchi husika kwenye nchi yako kutembea na mke wa mtu au kufanya uzinzi sio uharifu lakini kuna baadhi ya nchi ukitembea na mke wa mtu unahesabika kama uharifu mwingine na unaenda jera.
Hivyo papa hapaswi kuisemea dunia nzima .
Kwahiyo Papa ameongea tendo hilo siyo uharifu, kwa niaba ya nchi gani.
 
Mjibu hivi," Ile sehemu imetengwa maalumu kwa kazi hiyo, kinyume na hapo ni unajisi"
Nakujibu,
Imetengwa kwa ajili ya kupitisha uzao ila kwenye sex hakuna mipaka as long as wote mmeridhia na hakuna madhara.
 
Tayari imesharipotiwa tukio la ndoa ya jinsia moja ndani ya kanisa katoliki mwaka jana 2022. Haya ni matunda ya kuwakumbatia mashoga, hawafukuzwi kanisani lakini hawapaswi kuonesha kuwasapoti hadi kufikia ndoa.
Na kauli kama hizi zinawafanya hao mashoga kuwa na nguvu na kuona ni haki yao kuishi hivyo( ni dhambi kama ulivyosema) dhambi haikumbatiwi inakemewa na kutokomezwa.
Mkuu naomba unitumie hiyo video mashoga wakifungishwa ndoa. Kiukweli imenipita.
 
Ndo maana hizi Dini sometimes nahisi ni mpango wa wazungu kututawala kifikraaa waafrika very stupid...fwakenii
 
Acha unafiki wewe sio mkatoriki
Huyu papa siye kabisa toka day one. Huu ukatoliki naweza uacha tu.

Ona sasa hata uhalalishaji wake ni kauli za kitatakitata mtupu.

Hivi mwanaume kwa mwanaume wakioana mbona hata ile kutimiziana ni jambo la kulazimisha katika uchafu?

Hata isingekuwa imani au dini au kitu gani, ile asilia pekee inagoma kabisa?

Ni uchaguzi wa kishenzi hata wanyama hayawani hawaendekezi.

Lakini una shangaa wapo viongozi wa imani wana jaribu kushawishi ueneaji wa tabia hovyo kabisa.

Kwamba kiongozi wa imani ana chagua mashoga kama kundi la kutetewa kwa nguvu zote katika makundi yote yanayoteseka hapa duniani.

Kuna maskini, wagonjwa, wanaokufa vitani sehemu mbalimbali duniani nk.

Hao wote si kitu. ila mashoga waonewe huruma kweli? Yaani baba aone huruma kwa mwanae wa kiume kutaka kuolewa na mwanaume mwenzake?

Sasa naafiki kuwa kazi ya shetani inaelekea kufanikiwa.

Nadhani huku Afrika imefika wakati kuachana na hizi imani za kuletwa.

Maana ni uthibitisho kuwa zilitumika kwa malengo ya kutuangamiza kimwili na kiroho.

Inakera.
 
Ni member wa freemason yule aliyekufa alipinga akaona kuliko kumkosea MUNGU ni bora anawe asiwe na hatia
Hakika watu wanamuongelea siku nyingi sana.
Ila leo nimehakikisha mwenyewe kuwa ni mmoja kati ya Ma Anti Christ.
Wasabato wana hoja ya msingi kuhusu Papa.
 
Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]
Mtu yeyeto anaependa Sana kukojolewa akili yake huwa na shaka.
Mwanamke mzinzi na asiye mzinzi thinking zao zipo tofauti mzinzi huwa na low thinking. Huwezi ukawa mwanaume shoga then uwe smart kichwani.
Mwanamke kukojolewa ni asili lengo kuu ni kuendeleza uzao wa Mwanadamu, mwanaume kukojolewa ni kuondolewa utu wake.
 
Unataka kusema hao wanawake zenu mnaowakojolea hawana akili wameondolewa utu? [emoji15]
Mtu yeyeto anaependa Sana kukojolewa akili yake huwa na shaka.
Mwanamke mzinzi na asiye mzinzi thinking zao zipo tofauti mzinzi huwa na low thinking. Huwezi ukawa mwanaume shoga then uwe smart kichwani.
Mwanamke kukojolewa ni asili lengo kuu ni kuendeleza uzao wa Mwanadamu, mwanaume kukojolewa ni kuondolewa utu wake.
 
Ushoga usiufananishe na uchepukaji wetu 😂😂 japo zote ni dhambi mbele za Mungu hakuna anayepinga.

Ila Ushoga ni zaidi ya kuwa tu dhambi!

Miye nayechepuka na mke wa mtu tunatumia njia halali za tendo la ngono ila hatuna tu LESENI ya kuhalalisha hako kamchezo ketu 😂😂

Sasa wewe mashoga unaowatetea sijui nisemeje 😂😂😂
Nyote ni Wazinifu bhana usitake kuleta mambo mengi, tena nyie mnaojisifu kutembea na wake za watu si ndio nasikia hua kuna mafuta mnapakwa au? 🤔
 
Back
Top Bottom