Huyu papa siye kabisa toka day one. Huu ukatoliki naweza uacha tu.
Ona sasa hata uhalalishaji wake ni kauli za kitatakitata mtupu.
Hivi mwanaume kwa mwanaume wakioana mbona hata ile kutimiziana ni jambo la kulazimisha katika uchafu?
Hata isingekuwa imani au dini au kitu gani, ile asilia pekee inagoma kabisa?
Ni uchaguzi wa kishenzi hata wanyama hayawani hawaendekezi.
Lakini una shangaa wapo viongozi wa imani wana jaribu kushawishi ueneaji wa tabia hovyo kabisa.
Kwamba kiongozi wa imani ana chagua mashoga kama kundi la kutetewa kwa nguvu zote katika makundi yote yanayoteseka hapa duniani.
Kuna maskini, wagonjwa, wanaokufa vitani sehemu mbalimbali duniani nk.
Hao wote si kitu. ila mashoga waonewe huruma kweli? Yaani baba aone huruma kwa mwanae wa kiume kutaka kuolewa na mwanaume mwenzake?
Sasa naafiki kuwa kazi ya shetani inaelekea kufanikiwa.
Nadhani huku Afrika imefika wakati kuachana na hizi imani za kuletwa.
Maana ni uthibitisho kuwa zilitumika kwa malengo ya kutuangamiza kimwili na kiroho.
Inakera.