Hakika watu wanamuongelea siku nyingi sana.
Ila leo nimehakikisha mwenyewe kuwa ni mmoja kati ya Ma Anti Christ.
Wasabato wana hoja ya msingi kuhusu Papa.

Anachukua maagizo toka KWA black pope, ofisi ya black pope ipo vatican ghorofa la saba kwenda chini.
Black pope anapewa maagizo direct toka KWA lusifer.
White pope uchukua maagizo toka kwa Black pope na kuyaleta kwa wanadamu.
Papa huyu huyu ndie aliunga mkono utoaji mimba.
Leo anaunga mkono ushoga.
 
Mbona wezi na majambazi mnawahukumu? Basi na wao waacheni wafanye watakavyo watakuja kuukumiwa na mungu.
 
Mmh wewe unasema shoga hawezi kua smart kichwani wakati hata hizo nguo uvaazo zimekua designed na mashoga [emoji15]
 
Huyu papa wanataka kumfukuza kwa misimamo yake ya hovyo.kuna mahala nimeona kuna hiyo issue ya kumuondoa madarakani.
 
Mbona wezi na majambazi mnawahukumu? Basi na wao waacheni wafanye watakavyo watakuja kuukumiwa na mungu.
Wezi na Majambazi ni Wahalifu,
Ndio maana Papa kasema Ushoga sio uhalifu japo ni dhambi
 
The worst part of it is that there is no turning back now!.We're done.!They have taken over.Mission completed.
Never, its just a war! The church survived a lot for more than 2000 years. Just trying to do something on our generation.

We don't care the figures even a Pope, whoever teaches contrary to the Catholic Church fundamental teachings is heretic!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kama hii habari ni kweli basi huyu Papa atupe maandiko katika biblia yanayounga mkono hoja yake.

Ushoga ni uovu kama uovu mwingine na Papa hawezi kutuambia kwamba waovu wote waende na wapokelewe kanisani na kama wanaenda kanisani basi ni kwenda kutubu dhambi yao na kuacha kabisa kuitenda hiyo dhambi.
 
Nikikwambia unipe stiff testimony ya unayoyasema unayo? Au na wewe ulihadithiwa?
 
Uzinzi si ni haki kufanya lakini ni dhambi.

Sijaona alichokosea na nadhani ni bora kuwatambua mashoga kanisani kuna faida maana tunajua watu gani tuwambie watoto wetu wakae nao mbali kuliko kupinga kumbe majangili wapo in silence mode siku tunawapa watoto washinde nao tukijua wafia dini wenzetu tunarudi tunakuta wamelawiti dadeeq!
 
Wewe siijui imani yako but hili tuliweke hivi!!!

Leo mtaani pana shoga mpagani ametaka kusikia neno la Mungu abadilike ila akapendezwa na mafundisho ya Kanisa Catholic halafu ikawa Askofu wa jimbo husika alishatoa kauli kwamba jamii hiyo haitakiwi hapo Kanisani unadhani atathubutu kuingia?hapa nimezingumza mfano ndani ya Marekan

Kwenye bold ktk post yako kiongozi wetu mkuu Yesu Kristo alishatuonya "ya Kaiser apewe Kaiser (heshima kwa katiba za nchi ambako waumini wanaishi) ya Mungu apewe Mungu (kutowafukuza wale wanaohisiwa kuwa na dhambi sana.

Ni vitu vipo wazi ukitaka kusikia unachotaka wewe sawa but taratibu zote zimeandikwa ndani ya kitabu.
 
Ni Katoliki sio katoriki ndugu
 
Sawa vijana wa mwamposa
Hakika watu wanamuongelea siku nyingi sana.
Ila leo nimehakikisha mwenyewe kuwa ni mmoja kati ya Ma Anti Christ.
Wasabato wana hoja ya msingi kuhusu Papa.
 
Ni kweli pigs ana thamani? Au thamani gani Unayoizungumzia
 
Dah, nimecheka sana. Haya mambo haya yanachekesha sana.

Utashangaa Serikali ikisema mashoga wote wauawe, utashangaa baada ya siku mbili humu JF nabaki mimi na labda Maxence Melo tu, wengine pamoja na kelele zenu nina wasiwasi na hatma zenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…