ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Nipe maana ya uhalifu.Wezi na Majambazi ni Wahalifu,
Ndio maana Papa kasema Ushoga sio uhalifu japo ni dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe maana ya uhalifu.Wezi na Majambazi ni Wahalifu,
Ndio maana Papa kasema Ushoga sio uhalifu japo ni dhambi
Neno lake si sheria.Yeye kakosoa sheria zinazo haramisha ushoga kwa maneno mengine ameziambia nchi zote duniani zilizo haramisha ushoga kuwa wana chofanya sio sahihi na waziondoe hapo ndo alipo kosea.
Mwanaume kamili hauogopi hovyo, tena unamuogopa mtu unayemuona dhaifu kweli? Mimi ninachoona hicho unachoita "kuambukiza" na kwamba eti "wana ushawishi" ni kuwa wanaume wengi wanajijua kuwa ni wadhaifu katika hisia zao. Wanaona akikaa karibu na shoga au akimuona tu, tamaa itamjia halafu ataaibika mbele za watu. Ila ninachojiuliza mwanaume kamili kwa nini umtamani mwanaume mwenzio, huo si ndiyo ushoga wenyewe?Tunajua namna ya kujikinga. Ukilijua hili ni zombi dawa yake kama uwezi kemea pepo mwaga mbio hakuna jinsi.
Uzinzi ni haki kwa mujibu wa sheria ya nchi uliyopo ila nchi nyingine ni uharifu kwa mujibu wa sheria zao.Uzinzi si ni haki kufanya lakini ni dhambi.
Sijaona alichokosea na nadhani ni bora kuwatambua mashoga kanisani kuna faida maana tunajua watu gani tuwambie watoto wetu wakae nao mbali kuliko kupinga kumbe majangili wapo in silence mode siku tunawapa watoto washinde nao tukijua wafia dini wenzetu tunarudi tunakuta wamelawiti dadeeq!
View attachment 2495523agizo lolote halali la Pope kwa Kanisa huwa linasomwa Makanisani dunia yote as barua ya Kichungaji!
Hakuna siku uovu utaisha duniani mpaka siku hii dunia inaisha kwa sababu wote tumejikuta tunazaliwa tukiwa huru kutenda tunayoyataka toka tukiwa wadogo tupo baadhi wazazi wetu leo haawaamini tulivyo na tabia za ajabu kwa jinsi tulivyokuwa na maadili kipindi tunakua.Tambua uovu una nguvu,hata wasio waovu kesho watakuwa waovu KWA kigezo mbona fulani anafanya.
Ndo maana alimchumu yule sheikh kumbe nae yumo
Ww umesema ushoga sio uharifu bali ni dhambi na mm nimekujibu kuwa jambo fulani huwa lina hesabika kama uharifu kwa mujibu wa sheria za nchi husika na si vinginevyo.Laiti ungeelewa ninachojadili hapa na comments kama mbili zilizopita na zinazofuata wala usingeandika haya uliyoyaandika hapa
Kwa hali ya kawaida nakubaliana na wewe. Ila...Ukiingiwa na roho ile akili yako haitafanya kazi kama unavyofikiri sasa. Ndio mana waliosaidiwa wakatoka katika hayo matatizo wanajishangaa ilikuaje waliishi vileMwanaume kamili hauogopi hovyo, tena unamuogopa mtu unayemuona dhaifu kweli? Mimi ninachoona hicho unachoita "kuambukiza" na kwamba eti "wana ushawishi" ni kuwa wanaume wengi wanajijua kuwa ni wadhaifu katika hisia zao. Wanaona akikaa karibu na shoga au akimuona tu, tamaa itamjia halafu ataaibika mbele za watu. Ila ninachojiuliza mwanaume kamili kwa nini umtamani mwanaume mwenzio, huo si ndiyo ushoga wenyewe?
Na mimi kwenye hilo sipingani na wewe kuwa kuna uwezekano ni roho chafu imo ndani yao. Sasa hakuna anayejua iliwaingia wakati gani na ni kwa sababu ya matendo yao wenyewe au ya wengine.Kwa hali ya kawaida nakubaliana na wewe. Ila...Ukiingiwa na roho ile akili yako haitafanya kazi kama unavyofikiri sasa. Ndio mana waliosaidiwa wakatoka katika hayo matatizo wanajishangaa ilikuaje waliishi vile
Au siyo,unajipoza,unaiqolaizi ili muwe sawa...liwati Haram kwenye uislam na uliona world cup qatarHuwajui kaka?????Wanasema suna na imani zao zinawaruhusu kabisa
Dhambi ni neno la kiarabu lenye maana ya kosa',khalifu(halifu) ni neno la kiarabu pia lenye maana nyingi ikiwemo Pinga,enda kinyumeKuna tofauti kati ya uhalifu, kosa na dhambi. Kwa kutumia huo mfano wa mwizi, wizi ni uhalifu, ni kosa na ni dhambi. Kumpiga mwizi ni kosa lakini siyo uhalifu wala dhambi. Kuua mwizi ni kosa, ni uhalifu pia ni dhambi. Kuoa binti chini ya miaka 18 ni kosa lakini siyo dhambi. Kubaka ni kosa, ni uhalifu lakini pia ni dhambi. Ujangili ni uhalifu na ni kosa lakini siyo dhambi. Ushoga siyo uhalifu lakini linaweza kuwa kosa baadhi ya nchi lakini ni dhambi. Ukimuona shoga usimuone kama mhalifu bali muone kama mdhambi kama unavyomuona slay queen anayedanga
Uzi ulipaswa kuishia hapa [emoji120]Katumia lugha ya wasioelewa lakini kwa waelewa wa codes and meaning wanaelewa kuhusu mtazamo wake.
Huwezi tenganisha dhambi na uhalifu.
Kifupi yeye anasapoti ndoa za jinsia moja.
Sasa iweje wewe uwe na mamlaka halafu yeye asiwe nayo? Kwani nini unadhani Kanisa linamiliki pia shule na hospitali?Yeye hayo mamlaka ya kusema sio uhalifu amepewa na nani hali ya kuwa sheria za nchi zinatofautiana?
Tz kutembea na mke wa mtu sio uharifu lakini Saudia , Qtaar ,Iran ni uhalifu na ukifanya utaenda jela.
Hivyo hivyo ushoga ni halali kwenye nchi fulani na ni uharifu kwenye nchi nyingine sasa hayo mamlaka kuisemea dunia nzima ameyatoa wapi?
Unataka kusema Ubakaji, Wizi, Uuaji, kuna Nchi zimehalalisha na Nchi zimeharamisha?Uhalifu ni jambo lililo haramishwa kwa mujibu wa sheria husika.
Pole ndugu, jaribu kumuelewa. Utamulaani siku akisema wafungishwe ndoa au siku akitoa daraja la upadre kwa gays. Lakini sasa hivi hajakosa kihivyo. Naona amesema kama alivyosema kuhusu watalaka waliooa kiserikali wasitengwe na kanisa ila wafundishwe kama wana wa Mungu pia.The worst Pope in history! He is teaching against the church teaching! He has turned the Vatican to be a pagan state!
Too much confusion against church teaching! Mkristo unapaswa kulijua Kanisa na mafundisho yake, utakuja wakati even the devil himself anaweza kukaa pale Vatican!
Pope hapaswi kufundisha kinyume na maandiko wala mapokeo! Huu ni uasi. Bishops should publicly denounce this nonsense. Sitaki hata kutaka kumuelewa alitaka kumaanisha nini!
Rest in peace Pope Benedict. The church is in a war from within! Pray for the church.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app