Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Yamesajiriwa ndio maana yapoMsaidie kujibu mwenzio, hayo makanisa ya freemason, je yamesajiliwa na serikali au yanajiendesha kinyemela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamesajiriwa ndio maana yapoMsaidie kujibu mwenzio, hayo makanisa ya freemason, je yamesajiliwa na serikali au yanajiendesha kinyemela?
Je, kanisa la mchungaji wako wa kilokole, limesajiliwa na serikali au linajiendesha kinyemela?Yamesajiriwa na Serikali. Uliza tena
Je, kanisa la mchungaji wako wa kilokole, limesajiliwa na serikali au linajiendesha kinyemela?Yamesajiriwa ndio maana yapo
Nenda pale Posta ya zamani uliza Kanisa la Freemaso, utaoneshwa. Nenda kawaulize wanashughulika na nini alaf lete mrejesho hapaMsaidie kujibu mwenzio, hayo makanisa ya freemason, je yamesajiliwa na serikali au yanajiendesha kinyemela?
Yamesajiliwa kwa maana ya nje na sio kwa ajenda yao ya siri.Je, yamesajiliwa na serikali au yanajiendesha kinyemela?
Mchungaji yupi tena. Upo nje ya mjadala sababu ya ujinga wako.Je, kanisa la mchungaji wako wa kilokole, limesajiliwa na serikali au linajiendesha kinyemela?
Ni kweli limendikwa kwamba ni kanisa la freemason?Nenda pale Posta ya zamani uliza Kanisa la Freemaso, utaoneshwa. Nenda kawaulize wanashughulika na nini alaf lete mrejesho hapa
Enda kesho posta kaulize alaf uje utueleze limeandikwaje. Maana lipoNi kweli limendikwa kwamba ni kanisa la freemason?
Mbali na pale Posta vikao vyao usiku mnene siku maalumu jumanne na ijumaa v8 kali blacks zinaingia,pia Wanakutana majumbani mwao kuna mahekalu yao huko Mbezi beach,msasani nk.Only member ndio ujua.Huyo hana alijualo, analopoka tu.
Pale Posta Dar, pana Kanisa la Freemasons hata halijui.
That was 2000 years ago when Whites where on top and blacks on the sideways but right now things ain't the same no more since the blacks are all over and on Top.It ain't easy to comprehend this,You can only do if you dig deep down below abandoned pages.Never, its just a war! The church survived a lot for more than 2000 years. Just trying to do something on our generation.
We don't care the figures even a Pope, whoever teaches contrary to the Catholic Church fundamental teachings is heretic!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mbona umekuwa mkali nilipouliza kama kanisa lenu limesajiliwa?Mchungaji yupi tena. Upo nje ya mjadala sababu ya ujinga wako.
Kwa nini wewe unayedai ni la Freemason usilete habari kamili badala yake unaleta madai hayo halafu unawapa wengine kazi ya kukusaidia kuthibitisha?Enda kesho posta kaulize alaf uje utueleze limeandikwaje. Maana lipo
Kiukweli mimi najua freemason HALL ndo KWA akili yangu nawaza jengo gani limeandika kanisa la freemason jamani mnisaidie kuuliza siyo ujingaEnda kesho posta kaulize alaf uje utueleze limeandikwaje. Maana lipo
Upo nje ya mada shauri ya Ujinga wako.Mbona umekuwa mkali nilipouliza kama kanisa lenu limesajiliwa?
Ni kawaida ya wanaoishiwa hoja kuishia kutukana. ni tatizo la elimu piaUpo nje ya mada shauri ya Ujinga wako.
Anazungumziwa Papa unaongelea Mchungaji.
Hujioni kuwa huna Akili.
Usiwe mshamba wa Mjini.Kwa nini wewe unayedai ni la Freemason usilete habari kamili badala yake unaleta madai hayo halafu unawapa wengine kazi ya kukusaidia kuthibitisha?