Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Msaidie kujibu mwenzio, hayo makanisa ya freemason, je yamesajiliwa na serikali au yanajiendesha kinyemela?
Nenda pale Posta ya zamani uliza Kanisa la Freemaso, utaoneshwa. Nenda kawaulize wanashughulika na nini alaf lete mrejesho hapa
 
Huyo hana alijualo, analopoka tu.
Pale Posta Dar, pana Kanisa la Freemasons hata halijui.
Mbali na pale Posta vikao vyao usiku mnene siku maalumu jumanne na ijumaa v8 kali blacks zinaingia,pia Wanakutana majumbani mwao kuna mahekalu yao huko Mbezi beach,msasani nk.Only member ndio ujua.
Lile jengo la Posta KWA nje ni dogo lakini lina heka 20 lile na ni ghorofa kwenda chini Kati ya tatu hadi saba hivi. Ndio makao yao makuu KWA tza, east africa ni Nairobi. Pia KILA mkoa hata wilaya kubwa Wana makanisa yao ambayo yapo kwenye majumba ya kifahari mitaa ya matajiri mikoani
 
Never, its just a war! The church survived a lot for more than 2000 years. Just trying to do something on our generation.

We don't care the figures even a Pope, whoever teaches contrary to the Catholic Church fundamental teachings is heretic!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
That was 2000 years ago when Whites where on top and blacks on the sideways but right now things ain't the same no more since the blacks are all over and on Top.It ain't easy to comprehend this,You can only do if you dig deep down below abandoned pages.
 
Uzuri leo tumethibitisha kazi za Papa wa Roma.
Za kumtumikia Risifer.
 
Enda kesho posta kaulize alaf uje utueleze limeandikwaje. Maana lipo
Kwa nini wewe unayedai ni la Freemason usilete habari kamili badala yake unaleta madai hayo halafu unawapa wengine kazi ya kukusaidia kuthibitisha?
 
Roma locuta est causa finita est...Roma imenena shauri limekwisha.
 
Kwa nini wewe unayedai ni la Freemason usilete habari kamili badala yake unaleta madai hayo halafu unawapa wengine kazi ya kukusaidia kuthibitisha?
Usiwe mshamba wa Mjini.
Nenda kathibitishe utuletee mrejesho kwani unashindwa nini kuuliza tu pale Posta, wapi liliko Kanisa la Freemason
 
Back
Top Bottom