Natumai kupitia video hii unaweza kuwa na mtazamo wako binafsi kuhusu kauli yake.
 
Huyu papa kapotoka hivi mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuutetea ushoga?
 
Duuh kazi ipo kwann waumini wa kanisa Katoliki wanachezewa hivi? kwann sio misikiti na makanisa mengine? na kwann wajikite sana kwenye hoja hiyo moja kwa muda mrefu? kuna nn hapa?
 
Watu wakifirana wewe unaumia nini?
 
Naona unajitoa ufahamu, lakini tumeshajua ukweli
 
Nyote ni Wazinifu bhana usitake kuleta mambo mengi, tena nyie mnaojisifu kutembea na wake za watu si ndio nasikia hua kuna mafuta mnapakwa au? 🤔
Kupakwa mafuta ni ajali kazini maana mpaka kupakwa unaliwa si kazi ndogo 😂😂😂 yataka moyo.


Turudi kwenye mada ya Papa kuruhusu USHOGA kanisani..


USHOGA is more than lile tendo linalofanyika,,, but kile kilicho kwenye ufahamu wake, mawazo yake yaani huyu SHOGA yaani huwa mpaka kupenda hako kamchezo bila shurti 🤣🤣🤣🤣 na wengine kujibadili mpaka mwonekano uwe wa kike kike.... Sasa hichi ndo PAPA anataka kukiruhusu kije kanisani 🤭

Mfano mpo church na mwanao wa kiume halafu pembeni yake kuna njemba imekaa tena imepiga kimini na ugoko wenye msuli wazi, make-up ya nguvu,nyusi bandia na kipima joto kwapani 😂😂😂 ,,,, hivi would you not consider psychological safety of your son ikiwa kila mkienda Kanisani anawaona hao viumbe????

Tunapokataa USHOGA tunakikinga KIZAZI kijacho, siyo KIROHO tu bali hata KIMWILI.
 
Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.

Soma mwenyewe hapa.
Mlitaka tuwageuze qibla??
Aliye Waumba Anasema Tuwapende![emoji106]
Na Pope Amenukuu Agizo la Muumba wake!
Ushahidi Alipo Rejea Hapa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 5:44-46
[44] lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

[45] ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

[46]Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
 
Muwe mnakulana ila tusiwaone tutawafanya kitu mbaya
 
Haya mambo tangu enzi za mababu zetu yalikuwepo, yalifanywa kwa Siri ila sasa wanataka kuyaweka hadharani. Ni aina ya starehe ya mtu ili mradi asivunje sheria. Ngonga niichunguze katiba kama kuna kipengele kinachopinga ushoga.
 
Wasiotoa michango ya Jumuia mnawatenga na Padri anagoma hata kuwafanyia IBADA YA MAZIKO (japo haina msaada kwa Marehemu) ,,,iweje leo ghafla muwapende MASHOGA eti tusiwatenge 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…