Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka usingizini kumekucha.Huyo ni kiongozi wa kiislamu pia ila wewe HUWEZI kujua
ASOMAYE na AFAHAMU.
Dhambi ni kosa ambalo hukumu yake hutolewa na Mungu,Kuna tofauti gani kati ya dhambi,uhalifu na kosa?
😂😂😂😂🤣🤣🤣!Yalaaaaaaaa
Mama weeeeeeeeeee.......
Tumekwisha tumekwishaaaaaaa .......
Ushoga ni ruksa.Duuh kazi ipo kwann waumini wa kanisa Katoliki wanachezewa hivi? kwann sio misikiti na makanisa mengine? na kwann wajikite sana kwenye hoja hiyo moja kwa muda mrefu? kuna nn hapa?
Mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuupinga ushoga?mtu mwenye akili timamu unaanzaje kuutetea ushoga?
Watu wakifirana wewe unaumia nini?Acha justfication papa kakosea sana kukubali nchi zikubali mapenzi ya jinsia moja ni kukubali ushoga kwenye jamii, ni kukubali dhambi nilitegemea yeye ndiyo akataze nchi za ulaya kupitisha sheria za aina izoo ila yeye ndyo kahalalisha wakubaliwe hakuna mtu asiyetenda dhambi na wote ni watoto wa Muumba lkini waje kanisa kutubu na kuacha siyo waje ndani ya kanisa kma watu wa jamii izoo na kanisa halitakiwi kutambua mapenzi au ndoa za namna iyoo
Naona unajitoa ufahamu, lakini tumeshajua ukweliHuwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread
Papa hajasema ushoga sio dhambi na hana mamlaka hiyo ya kuihalalisha dhambi maana ukisema anayo bhasi utaamini papa yupo juu ya mamlaka ya Mungu, kitu ambacho si kweli
Ila kitu alichomaanisha
"Kila uhalifu ni dhambi Ila si kila dhambi ni uhalifu"
Ndio maana hata wewe upo huru kuisaliti ndoa yako utakavyo pasipo dini kusema upigwe mawe kwa sababu si uhalifu
Kingine Mungu aliiteketeza sodoma na Gomorah kwa sababu ya homosexuality lakini gharika ya Mungu iliteketeza kila mtu. hata Yona alitumwa kuwahubiria watu wa ninawi kuwa hasira ya Mungu ipo juu yao na mji ungeteketezwa
Hivyo, utaona kuwa HASIRA YA MUNGU IPO KATIKA KILA UHARIBIFU NA UCHAFU TUNAOUFANYA
Na kama haitoshi, biblia ikaainisha wazi kuwa ni dhambi gani isiyosameheka
M A R K O 3:28-29 “Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele”.
Hivyo, wewe mzinzi, mlevi, msengenyaji, mwizi na kila aina ya dhambi, HASIRA YA MUNGU IPO JUU YETU SOTE lakini Mungu kwa rehema zake, wote ni wake na tunastahili msamaha wake tukijinyenyekeza na kufanya toba
Hivyo,kwa kauli hii, papa hajakosea [emoji1431][emoji1431]
Kupakwa mafuta ni ajali kazini maana mpaka kupakwa unaliwa si kazi ndogo 😂😂😂 yataka moyo.Nyote ni Wazinifu bhana usitake kuleta mambo mengi, tena nyie mnaojisifu kutembea na wake za watu si ndio nasikia hua kuna mafuta mnapakwa au? 🤔
Mlitaka tuwageuze qibla??Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.
Soma mwenyewe hapa.
Muwe mnakulana ila tusiwaone tutawafanya kitu mbayaMlitaka tuwageuze qibla??
Aliye Waumba Anasema Tuwapende![emoji106]
Na Pope Amenukuu Agizo la Muumba wake!
Ushahidi Alipo Rejea Hapa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 5:44-46
[44] lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
[45] ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
[46]Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
Wasiotoa michango ya Jumuia mnawatenga na Padri anagoma hata kuwafanyia IBADA YA MAZIKO (japo haina msaada kwa Marehemu) ,,,iweje leo ghafla muwapende MASHOGA eti tusiwatenge 😂😂Mlitaka tuwageuze qibla??
Aliye Waumba Anasema Tuwapende![emoji106]
Na Pope Amenukuu Agizo la Muumba wake!
Ushahidi Alipo Rejea Hapa!
[emoji116][emoji116]
Matthew 5:44-46
[44] lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
[45] ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
[46]Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?