Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Ndio mahubiri ya kiongozi wa Wakatoriki yanavyo sema.
Wamwige tu Papa wao hakuna jinsi.

Badala ya kumsikiriza Yesu Kristo wanamsikiliza Papa.

Waache wakafirwe kama Papa wao.
 
Aseeee kuna majitu yana akili nyingi duniani mpaka yanakera. BRO BRAVOO!! kiukweli nakuelewa sana unavyoandika. Unajua watu wengi wametanguliza hisia sana kwenye hii statement by the way unaeleweka na hata mtoto wa nursery
Shukrani Queen kwa compliments zako. Ubarikiwe 🙏🏽😊
 
Clear and bold statement but Pope Francis is bringing confusion to faithfuls.
Screenshot_20230125-234836_Twitter.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada mi napingana na uzi wako ulipolalia. Hapo kasema sio uhalifu kumaanisha watu wameridhiana kama watu wengine ambao wanafanya mapenzi wameridhiana ila kasema ni dhambi kumaanisha sio sahihi.

Ila kingine ni kwamba mtu anapokuwa kwamba haenendi vizuri pale unapomleta karibu inakuwa rahisi kumbadilisha (kama inawezekana).

Na the same way hata Yesu alikaa na wenye dhambi. Msemo wake haujaialalisha kwamba sio dhambi.
 
SAsa hao wanaendesha dini KWA kufuata katiba ya nchi na sio muongozo wa Ukristo.
Hawana tofauti na mitume na manabii wanaoruhusu wanawake wanaovaa isivyo KWA maadili ya Kikristo kuingia makanisani mwao sababu watakosa sadaka...
Ni kweli kanisa na siasa havichangamani?
 
Hello Wadau.

Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga Mwingi Kwa Kuunga mkono ushoga na kusema Mashoga sio wahaliifu, na kwamba ni Wana wa Mungu pia...
New world order

Na wale Three Men in Black wanafanya kazi kweli bila kuwasahau Rothschild Family
 
Huyu hapa ameamua kufanya wazi badala ya hao wa dini yenu wa kule Mombasa na Pemba ambao huifanya siri


Hiyo ni ya mda mrefu tu,, huyo jamaa alitaka kuuchafua uislam huku south Africa,, sasa uliza kilichomkuta na huo mpango wake uliishia wapi?

Huku hakuna magumashi, na hii dini haichezezewi, na hilo sio kama huliju.

"Haleloyaaaa na mbengo zikafongoke"
 
Natabiri....
Hii mada kutokea vita humu kati ya wale wafuasi wa wafuga ndevu na wale jamaa wavaa misalaba[emoji23][emoji23].

All in all dini zote ni upumbavu na uzushii...
 
Unamtukana papa na ukatolic lkn maajabu unatumia kalenda waliyoandaa wao, unasali siku waliyoandaa wao, unatumia biblia waliyoandaa wao, na vile vile unampinga papa wakati anahusika na dini zote adi ya yule mtume feki wa kushushiwa kitabu tokea mbingu za kusadikika.

Ukimkataa papa ukatae ukristo hata uislam pia maana huyo ndiye nguzo za dini zote kwa mgongo wa kificho.

Rudini ktk asili zenu kamwe hamtoteseka na uvuguvugu wa hao matapeli wenu mnaowaita viongoz wa dini.
 
MK254 njoo upige takbir huku😃
Afu mie nikemee mapepo!!
Na mbengo zikafongoke chioni ya leo rabababaaa sharobwirooo robosatarara!!!
 
Ushoga ni dhambi na ni uhalifu!
Huyu Papa anaweza pia kuwa ni S........!
Kwanini watu wanaopaswa kusema bodly kwamba ushoga haukubaliki wanaremba remba maneno!
Ukimsoma Papa unaona kabisa anaunga mkono Ushoga!
Kwani Majambazi na Wauaji siyo watoto wa Mungu!
Wanakubali Ushoga ili kumpinga Mungu! Period
 
Mungu anawapenda watu wote hata wenye dhambi ila hapendi dhambi.
 
Hello Wadau.

Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia...
Sijui ni kipi kinawafanya kuogopa kusa kwamba ushoga ni ugonjwa wa akili sawa na magonjwa yote. Unaweza uzaliwe nao, au ukaupata baadae, na wagonjwa wote siyo wahalifu.

Nimewajua mashoga tangu utotoni, leo hii kipi kiongezeke kuwe na haki maalumu. Ni kuwatafutia tiba ndiyo solution siyo kutulazimisha tuishi na vichaa mtaani
 
Back
Top Bottom