Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Anaongozwa na Rusifer, keshauza roho yake.Huyu papa atakuwa mfiraji au mfirwaji, siyo bure
Hana namna zaidi ya kuhubiri dhambi ziendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongozwa na Rusifer, keshauza roho yake.Huyu papa atakuwa mfiraji au mfirwaji, siyo bure
Shukrani Queen kwa compliments zako. Ubarikiwe 🙏🏽😊Aseeee kuna majitu yana akili nyingi duniani mpaka yanakera. BRO BRAVOO!! kiukweli nakuelewa sana unavyoandika. Unajua watu wengi wametanguliza hisia sana kwenye hii statement by the way unaeleweka na hata mtoto wa nursery
Ni kweli kanisa na siasa havichangamani?SAsa hao wanaendesha dini KWA kufuata katiba ya nchi na sio muongozo wa Ukristo.
Hawana tofauti na mitume na manabii wanaoruhusu wanawake wanaovaa isivyo KWA maadili ya Kikristo kuingia makanisani mwao sababu watakosa sadaka...
Ni member wa freemason yule aliyekufa alipinga akaona kuliko kumkosea MUNGU ni bora anawe asiwe na hat
Nitumie nione MANENO anayosema naunga mkono utoaji mimbaHuyu papa anaunga mkono utoaji mimba kuunga mkono ushoga sio ajabu kwake
New world orderHello Wadau.
Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga Mwingi Kwa Kuunga mkono ushoga na kusema Mashoga sio wahaliifu, na kwamba ni Wana wa Mungu pia...
Huyu hapa ameamua kufanya wazi badala ya hao wa dini yenu wa kule Mombasa na Pemba ambao huifanya siri
Kulikuwa na kosa kwenye kuanxika kanisa KatolikiNdio hoja gani hii kaka!?
Tunasubiri mchango wako kwenye mada husika!
Usiamishe magoli,, papa kasema ufilwehhLizee la miaka 50 lilikua linafumua katoto ka miaka 9 leo mnaliabudu
Sijui ni kipi kinawafanya kuogopa kusa kwamba ushoga ni ugonjwa wa akili sawa na magonjwa yote. Unaweza uzaliwe nao, au ukaupata baadae, na wagonjwa wote siyo wahalifu.Hello Wadau.
Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia...