Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Sitetei ushoga lakini sikiluzeni enyi watu mnao kremu hata maadili!

Hivi mbona hamuwazuii wezi kuingia kanisani kwani sio watoto wa Mungu?

Mbona hamuwazuii walevi kuingia kanisani…?

Mbona hamuwazuii malaya…?

Wachawi?

Mlitaka Papa awatenge mashoga lakini awaache malaya?

Papa hajaruhusu ushoga ila anasema tusiwatenge watu hao tuwapokee makanisani na kuwasaidia. Kwani hatwapikei wezi na wakosefu wengine na kuwasaidia?
Hakupswa hata kugusia au alipaswa asisitoze tu uharamu wa dhambi yoyote siyo kupromote
 
Sitetei ushoga lakini sikiluzeni enyi watu mnao kremu hata maadili!

Hivi mbona hamuwazuii wezi kuingia kanisani kwani sio watoto wa Mungu?

Mbona hamuwazuii walevi kuingia kanisani…?

Mbona hamuwazuii malaya…?

Wachawi?

Mlitaka Papa awatenge mashoga lakini awaache malaya?

Papa hajaruhusu ushoga ila anasema tusiwatenge watu hao tuwapokee makanisani na kuwasaidia. Kwani hatwapikei wezi na wakosefu wengine na kuwasaidia?
Hawawezi kukuelewaa hata. Wabongo ni wanafiki na umaskini umewajaaa lol
 
tukamshitaki papa kwa mtetezi wetu huyo hapo chini
1.jpg
 
Yupo sahihi kwa sababu we mtu kaamua kutumia kitako chake wewe ambae hukitumii unaumia nini?
 
Tuoneshe sentence moja ya papa inayopromote ushoga.
"Kuwa Shoga sio uhalifu"

Ni sentensi ya kupromoti Ushoga.

Hivi kwa akili zako mtu akimsababisha mwanao wa kiume kuwa shoga hajafanya uhalifu?

Unaweza kunitajia faida nne tu Ushoga katika jamii?

Hapo anahamasisha nchi zinazo pinga Ushoga ziache na badala yake ziuhalarishe.

Maana yake ni kupinga Amri ya Mungu.

[Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja]

Na kupinga Amri ya Mungu ni uhalifu namba moja.

Kumfanya mwanaume kuwa Shoga ni Uhalifu mkubwa sana.

Subiri wanao wote wa kiume wawe Mashoga ndio utaujua uhalifu wake.
 
"Kuwa Shoga sio uhalifu"

Ni sentensi ya kupromoti Ushoga.

Hivi kwa akili zako mtu akimsababisha mwanao wa kiume kuwa shoga hajafanya uhalifu ?

Unaweza kunitajia faida nne tu Ushoga katika jamii ?

Hapo anahamasisha nchi zinazo pinga Ushoga ziache na badala yake ziuhalarishe.

Maana yake ni kupinga Amri ya Mungu.

[Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja]

Na kupinga Amri ya Mungu ni uhalifu namba moja.

Kumfanya mwanaume kuwa Shoga ni Uhalifu mkubwa sana.
Subiri wanao wote wa kiume wawe Mashoga ndio utaujua uhalifu wake.
Kuwa shoga ni uhalifu?! Hivi kuwa kiziwi ni uhalifu? Ujue ushoga ni hali wanayokuwa nayo watu kutokana na aidha mazingira walimokulia, au hali ya kuzaliwa hivyo kijenetic. Huwezi kumwita mtu mwenye hali hii mhalifu. Wengi hawaelewi hapa.
 
Mambo vipi?
Kauli ya Papa kuhusu Ushoga haikuwa tofauti na kauli ya Yesu kuhusu Mwanamke Kahaba.

Hivi karibuni kulitokea mjadala mkali sana kuhusu kauli ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kuhusu ushoga.

“Ushoga ni dhambi lakini sio Uhalifu” Hii kauli ilileta tafrani na watu kuhitimisha kwamba Wakristo wanaunga mkono suala la ushoga.

Kauli hii haina tofauti na kisa cha kwenye Biblia Yesu alipotoa kauli yake alipopelekewa mwanamke kahaba aliyekutwa akizini. Umati uliokuwepo ulikuwa tayari kuanza kumpiga mawe huyo mwanamke mpaka auwawe. Lakini Yesu alisema anayejiona hana Dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe mwanamke huyu. Kila mmoja aliondoka Yn 8:1-7. Hii ilitafsiriwa na Jamii ile kwamba Yesu alikuwa anaunga mkono Ukahaba. Hii ni sawa tu useme Ukahaba ni Dhambi lakini sio Uhalifu.

Kenya kuna mtu aliyekuwa anaunga mkono na kujihusisha na ushoga aliuawa kutokana na kuchukuliwa kwamba ni Uhalifu.

Kikanisa mtu akifa bila kutubu ni hasara kubwa sana, kiongozi wa dini hutamani mwenye Dhambi amjue Mungu na kugeuza Mienendo yake ya dhambi kuwa ya haki na Usafi wa moyo kabla ya kufa kwake. Hiyo ndio fahari ya kiongozi wa Kanisa na Mkristo yeyote yule na sio mtu auwawe kabla ya kutubu.

Inahitaji akili kubwa kuelewa. Tunapaswa kujua kwamba “Kila Uhalifu ni Dhambi lakini si Kila Dhambi ni Uhalifu ” Ukielewa hapa utamwelewa Papa.

Mwisho, kama umenielewa utagundua kwamba Wakristo hawaungi mkono vitendo vya Dhambi yoyote ile ikiwemo ya Ushoga na kauli ya Papa haikumaanisha kutetea ushoga. Tunapinga vikali dhambi ya ushoga na nyingine.
 
Kuwa shoga ni uhalifu?! Hivi kuwa kiziwi ni uhalifu? Ujue ushoga ni hali wanayokuwa nayo watu kutokana na aidha mazingira walimokulia, au hali ya kuzaliwa hivyo kijenetic. Huwezi kumwita mtu mwenye hali hii mhalifu. Wengi hawaelewi hapa.
Mazingira yepi yanayosababisha mtu kuwa Shoga.
Hebu tutajie hapa.
Ni Mhalifu mmoja anamfundisha mwenzake uhalifu wa Ushoga na kumfanya aupende.

Ushoga ni kujiendekeza kunako zaa mazoea.
Ni kama utumiaji wa madawa ya kulevya.

Mtua anaonywa na wataalam wa afya lakini ana kaidi baadae anakuwa addicted halafu anasingizia mazingira.

Kuna mambo hayatakiwi kabisa kujifunza.

Hakuna Binadamu au kiumbe yeyoye anayezaliwa na homoni za kupenda kukunwa matakoni.
La sivyo tungeona Ushoga kwa Wanyama.
 
Litakuwa lishoga limungu lako mkuu.

Asante.
Soma hii ayati halafu!;
[emoji116][emoji116]
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Endelea kukufuru na kujipa wepesi wa finnari jehannam halidina fiha abadan!
Tutubwi hutoki![emoji91][emoji91][emoji91]
 
Simwogopi mungu wako na nitaendelea kumkufuru.
 
Simwogopi mungu wako na nitaendelea kumkufuru.
Mungu wetu ni mmoja!
waislamu dirisha dogo vichekesho!
Kaibishie quran mimi hayanihusu nimenukuu tu dogo![emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116]
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
 
Mungu wetu ni mmoja!
waislamu dirisha dogo vichekesho!
Kaibishie quran mimi hayanihusu nimenukuu tu dogo![emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116]
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Yes
FB_IMG_16765639214612520.jpg
 
Back
Top Bottom