GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona hizo hadidu na mpangilio wake na muda vinaendana na za Bwana Polepole?au ndio wewe Mkuu?
 
Jamaa amekiri na ameomba msamaha ni vyema asamehewe.Kukiri kosa kunahitaji ujasiri na nguvu.
 
Jamaa amekiri na ameomba msamaha ni vyema asamehewe.Kukiri kosa kunahitaji ujasiri na nguvu.
Sawa kaomba msamaha, ila aseme sasaa nani alikua muhusika wa shambulio la Lissu na wako wapi kina Saanane, na je nani walihusika??
 
Polepole sema yote maana kwa sasa roho yako inatafutwa kuliko mgodi wa mwadui anao umiliki rostam. Sasa ni bora ulipue bomu tu
 
Leo naona rangi halisi za wanasiasa wa Tanzania zitajulika kama .Pia mbwa mwitu waliojivika ngozi za kondoo watajulikana.
 
Wamekosea sana Jana kumjibu kwa staili ile. Walitakiwa wajikite kwenye ilani, na kufafanua namna watakavyotekeleza Yale yaliyomo kwenye ilani.
Yote ya Moto. Tension ya hadhira ni kusikia majibu ya hoja za Polepole ambazo kimsingi hazijibiki. Wakikaa kimya watu wanapigia mstari
 
Hawana Raia pacha kweli?? utashangaa jamaa ni Mmarekani...Mnamkamata mnashangaa balazo wa US anaanza kutoa matamko mtu wao aachiliwe..ndo tutakapoelewa the game sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…