Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Kubeba watu kwa Njia hizo Hapo kweli kuna UTU !Chochea kuni
KAZI ni kipimo cha utu
Utakula ulipo peleka mboga mazee....🤣Brii unitag nisipitwe, halafu mbona X hujaweka na ulisema utaweka?
Huku unafutwa tunakosa taarifa nyeti..!!
Imekaa vizuri sanaKama atakayoyasema polepole ni kweli NTUPU basi rostamu ajiandae kunyongwa na Tundu Lissu ila sio UTAWALA wa ccm.
Guu kubwa la tembo hutiwa kashikashi na mbigili/mwiba mdogo tu.King maker wa Tanzania anashughulikiwa na Polepole.
Hapo sasa mbogo moto ugali wa mohogo moto!!!Yote ya Moto. Tension ya hadhira ni kusikia majibu ya hoja za Polepole ambazo kimsingi hazijibiki. Wakikaa kimya watu wanapigia mstari
Tunachohitaji ni HPP kuendelea Kupanda Mbegu, na tunaamini Mbegu zilizo nyingi zitaangukia kwenye Udongo ulio mzuri na zitaota na hatimaye kutoa Matunda. Mbegu chache huenda zitaangukia kwenye undogo usio na rutuba wa kwa kina hao ! Acha Apande, sisi tusubilie Mavuno !shida ni kwamba anasema au anaongea lakini ishakuwa ama anasimulia hadithi unajuwahadithi inaweza ikawa ya kutisha sana lakini haina athari yoyote tunamsikiliza tuna mpuuza mara paap mama anaapishwa sasa ajue anaishi kama digidigi miaka mitano
Duh! Hii khaliMi nadhani walichokifanya ni kuichakachua pacemaker electromagnetically (kwa mbali), Kwa kutumia wapiga picha wake.
Camera inachakachuliwa kwa kuifanya itoe frequency itakayo haribu uwezo wa pacemaker kufanya kazi. Mpiga picha anamsogelea muhusika, kama anampiga picha, kumbe anatuma electromagnetic pulse kwenye pacemaker.
Baada ya hapo, mapigo ya moyo yakizingua, pacemaker haiwezi sawazisha mapigo, mtu anapelekwa hospitali, basi kazi inamaliziwa huko.
Unampangia wwHuyo Pole pole kama kweli anajua sana aanze kwanza kumtaka aliempiga risasi Mwenyekiti wetu na wapi alipo Kada wetu kijana mahiri Ben Saanane.
Akitubutu hapa ndio nitakuwa na interest ya kumsikiliza maana najua yuko seruous na ni ma anamtegenea Mungu wa Mbinguni kama anavyodai.
Kila kitu ni ngazi kwa ngazi.Pupa hapana.Huyo Pole pole kama kweli anajua sana aanze kwanza kumtaka aliempiga risasi Mwenyekiti wetu na wapi alipo Kada wetu kijana mahiri Ben Saanane.
Akitubutu hapa ndio nitakuwa na interest ya kumsikiliza maana najua yuko seruous na ni ma anamtegenea Mungu wa Mbinguni kama anavyodai.
Tusambazie mkuuUmefunga PM yako nimeshamtumia Ertugrul Bey
Siwezi kuweka hapa itakuwa utovu wa nidhamu maana wenyewe waliifuta.
Nifah nitumie namimi hiyo ya jiweUmefunga PM yako nimeshamtumia Ertugrul Bey
Siwezi kuweka hapa itakuwa utovu wa nidhamu maana wenyewe waliifuta.
Ile siyo nyomi ya kweli, ni maigizo.huku ground hali iko tofauti kabisa. Nyomi ile ya jana na watu wenye ushauwishi kujitokeza kuunga mkono
Mbona alisema yupo KIBAHA kwa Mathias?Anakera sana, kazi kujificha ficha utafikiri mpiga nyeto.
Ukiweza niwekee nami pia mkuu nisafishe machoUmefunga PM yako nimeshamtumia Ertugrul Bey
Siwezi kuweka hapa itakuwa utovu wa nidhamu maana wenyewe waliifuta.
Kama gagulo Tu. Juu wazi,chini waziHapo sasa mbogo moto ugali wa mohogo moto!!!
Tabia mbaya we babu lol! 😹Utakula ulipo peleka mboga mazee....🤣