Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Yupo wapi muuaji wa mzee KIBAO?
Wapo wapi wauaji wa dr. Sengondo MVUNGI?
yupo wapi muaji wa Ben sanane?
 
Acha kudanganywa kiboya .Hakuna aliyekamatwa .Huyu MUHA wa Mabamba Kibondo ni muongo kulinda kibarua chake
Jeshi limemkamata mtu mmoja

Sasa Kama wewe ni polisi na una details zaidi sawa
 
baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.

CCTV hakuna??
 
relax gentleman,
hiyo ni hali ya kawaida ya binadamu akichemka na kuchafukwa na jambo. So, usijali.

But ni muhimu sana kama wanadamu kuhurumiana katika yote mazito yanayotukumba na ikibidi kusaidiana.
hata hivyo, huruma inafaa nini ikiwa ndani yake kuna uovu unaofichwa hususan na kanisa katoliki hususani kwenye masuala ya dhuluma za kingono kwa vijana tena wa kiume zinazofanywa na makasisi wa katoliki Tanzania na duniani kwa ujumla?

In fact,
hakuna mahali nimemshutumu mtu, ispokua kwa maoni yangu nimehisi huenda miongoni mwa sababu za kutokea tukio hilo la huyo kiongozi wa kanisa ni pamoja na nililosema kwenye comment yangu ya msingi.

Binafsi sina haja ya chama cha siasa ama kanisa katoliki, na hakuna haja ya mtu kunihurumia palele ninapoeleza ukweli kwasababu nafahamu gharama ya kusema ukweli ni pamoja na mambo kama hayo.
But ni vizuri kujitahimini kwanza ikiwa unasema ukweli wewe uko na nafasi gani ndani ya huo ukweli unaoeleza?

haiwezekani mtu muovu akajificha kwenye ukweli, ataumbuka tu kwa wakati muafaka
 
Nahisi wale mwanadamu anayekufa aliyewapa kinga ya kutoshatakiwa wanavuka mipaka.

Binadamu asipodhibitiwa ni hatari kuliko mnyama.

Dhuluma ya aina yoyote haina macho, na waitendao ni kama majini.
 
Kabla hata Barua ya Roma haijapigwa Lamination 😭😭
 
Watanzania ni wakatili sana kuliko Taifa lolote katika Nchi za SADC wao kuuana kwa petty issues ni kawaida kabisa hawajali utu kabisa.
 
Hii comment yako ukitoa matusi inabaki nini mkuu
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Mtu mwenye above 56+ ugomvi binafsi usitokee miaka yote, utokee baada ya kutamka msiwapangie cha kuzungumza?
Inafikirisha sn ht kwa akili km yako ku-analyse jambo hili in such narrow mind!
 
Hawa mbwa wa ccm wapumbavu wanaendelea kuleta drama kama zile za za yule jamaa aliyedaiwa kumteka Mo Dewji.
 
Mtu mwenye above 56+ ugomvi binafsi usitokee miaka yote, utokee baada ya kutamka msiwapangie cha kuzungumza?
Inafikirisha sn ht kwa akili km yako ku-analyse jambo hili in such narrow mind!
Labda miaka yote hiyo alikua hatombi mke wa huyo jamaa
 
jata mimi miaka ya nyuma niliwahi kuwa nae hapo tukanywa pombe,kwa furaha,amani na kwa urafiki mkubwa
twendeni kumpa pole na kumtia moyo, huku tukipata mbili za baridi, hivi kuna jiko pale mie napendaga foil ya nundu na mbavu za mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…