Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Madaktariii kisasi ni chenu, kila mtu atambe kwenye uwanja wake, familia za wanajeshi na mapolisi mnazijua,
Pindi wanapofika kwenye eneo lenu LA kazi kuhitaji huduma, cha kufanya mnakijua.
Km mbwai na iwe mbwaiii.
 
Yule mwalimu wa martial art pale CCP inabidi aongeze maujuzi, vijana wanakuja field bado hawajaiva 😑😑😑,

Au brother stewart unawafundisha kupiga guitar tuu hapo chuoni 😁😁
 
πŸ’―
 
We ni kwl ni bwege, labda km ni daktari wa kienyeji, huyo hafai kwa lolote km huo uzushi utakuwa ukweli afukuzwe mara moja na usajili wake ufutwe ktk chama cha madaktari Tanganyika. Huna ht aibu kuaibisha fani ya udaktari? Shame on you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…