Anawachek
Huyo Ruto, ndiyo Kwanza anachekelea, kupandishwa kwenye basi, kwa kuwa yeye ni "Hustler" anaona kama vile wamempa promotion kumpandisha kwenye basi, kwa kuwa yeye kawaida yake kuendeshwa kwenye toroli!😅
Anawacheka wenzie wanaojionaga wao ni Prezidaaaaaaaaaaaa
 
Wewe ni mtu mpambavu sana, matusi yote hayo ya nn? Kama mtu kamtukana kiongozi achana nae mpuuzie, maishe yanaendelea. Sasa utatukana wangapi na wajinga kila siku wanazaliwa.

Kuna watu ni wajinga na wapumbavu mliopitiliza
 
Wewe ni mtu mpambavu sana, matusi yote hayo ya nn? Kama mtu kamtukana kiongozi achana nae mpuuzie, maishe yanaendelea. Sasa utatukana wangapi na wajinga kila siku wanazaliwa.

Kuna watu ni wajinga na wapumbavu mliopitiliza
Hivi wewe unajionaje labda?
 
Mbona hatuoni aibu kwenda kuomba hela za kujenga vyoo na kusomesha watoto?

Kwa wazungu kiongozi kupanda basi au baiskeli ni kitu cha kawaida sana.
 
Sasa ukiwa olba omba unategemea nini?! We angalia hata kwenye familia zenu hamuone wenye pesa wanapapatikiwa akiingia sehemu utakuta watu wanasimama [emoji23][emoji23] ingia wewe pangu pakavu watu hawana hata habari kama upo
 
Kuna namna viongozi wa Africa wanafeli Sana , Maghufuli alikuwa sahihi Ila alichokuwa anakosea ni uropokaji wake probably ndo kilichomgharimu pia , ukweli ni kuwa huwez shindana na hawa jamaa , kuna sehemu inabd uachie , na kuna sehemu inabd ukaze, na unakaza kimya kimya , usiwe mtu wa kujipendekeza saana na wala usiwe mtu wa kuwaropokea hovyo hovyo...!! Unafanya vitu vyako kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…