Sisi pia muda wetu Viongozi wa Ulaya walikuwa hata hatuwaaliki kwenye mazishi ya Farao.
 
Tupunguze ujinga japo kidogo.
Hii ni routine ya kawaida.tatizo hapo kwanini Marais wa ulaya na Asia watumie usafiri binafsi wakati Marais wetu wanapanda yutong kwenye Hilo tukio.yaani watu wamepangwa Kwa madaraja.
 
Hapo kwenye Machawa hapoooooooo nacheka kama mazuri,

Kwanza kwa Maraisi hawa Wapya wala hawakutakiwa kwenda wangetuma wawakilishi tu, hawajawahi kukutana Live na Marehemu sasa huo Msiba umewagusa vipi hadi kuacha Nchi zao na kwenda kujazana huko.
 
Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Aliyeruhusiwa kuwa na msafara wake binafsi ni Joe Biden tu, tena baada ya mvutano kidogo. Huwezi ruhusu viongozi takribani 500 kila mmoja awe na msafara wake. Jua kuwa wako salama na tuache inferiority complex na kulalamika kila kitu.

US President Joe Biden allowed to drive in for Queen Elizabeth II’s funeral in a convoy, while other world leaders were lumped into a bus​

(US President Joe Biden allowed to drive in for Queen Elizabeth II?s funeral in a convoy, while other world leaders were lumped into a bus (video))​



Soma hii link
 
Ilitakiwa iwe vivyo hivyo mpaka kwa biden.
 
Hapo kwenye Machawa hapoooooooo nacheka kama mazuri,

Kwanza kwa Maraisi hawa Wapya wala hawakutakiwa kwenda wangetuma wawakilishi tu, hawajawahi kukutana Live na Marehemu sasa huo Msiba umewagusa vipi hadi kuacha Nchi zao na kwenda kujazana huko.
Tuache chuki za kipuuzi, wakuu wa nchi zote za Commonwealth wamealikwa na itifaki inafaa wahudhurie wao wenyewe.

Huwezi kuupata mkusanyiko huu wa kihistoria Tena mpaka unakufa.

Wabongo tumevuka kiwango cha chuki na roho mbaya.
 
Kama ni kawaida mbona Biden hajapanda?
US ni superpower, na hakuna yeyote duniani mwenye akili timamu anaye-dispute. Kwendana na taratibu za Marekani, Rais amekuwa restricted kupanda usafiri maalamu.

Ni viongozi wawili pekee duniani nje ya UK kama sijakosea, waliopewa kibali cha kuwa na private motorcade, na hata motorcade ya Biden imekuwa scaled down tofauti na kawaida.

Viongozi wengine wote, kwanzia Europe, Asia, Latin America, North America, and etc wamepanda mabasi na wameona ni sawa kwendana na protocol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…