Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Sisi pia muda wetu Viongozi wa Ulaya walikuwa hata hatuwaaliki kwenye mazishi ya Farao.
 
Tupunguze ujinga japo kidogo.
Hii ni routine ya kawaida.tatizo hapo kwanini Marais wa ulaya na Asia watumie usafiri binafsi wakati Marais wetu wanapanda yutong kwenye Hilo tukio.yaani watu wamepangwa Kwa madaraja.
 
Hahha sikutaka kucomment ila comments za waja zimenichekesha sana. Kwamba wamepanda majinja!! [emoji2]

Issue hapa sio ajabu wao kupanda bus, ila ni wao kufanya matanuzi ya gharama yasioyokua ya lazima katika nchi zao, msafara kutoka ikulu hadi St. peters tu pale convoy magari kama 20 hivi wakati kimsingi huku kwetu hata hatari za kiusalama hakuna, ni basi tu ilimradi watutishe na kututetemesha mabarabarani.

Huko wakikutana hata kwenye mikutano ya UN, wanageuka machawa wa Marais wengine. They have no influence at all.
Hapo kwenye Machawa hapoooooooo nacheka kama mazuri,

Kwanza kwa Maraisi hawa Wapya wala hawakutakiwa kwenda wangetuma wawakilishi tu, hawajawahi kukutana Live na Marehemu sasa huo Msiba umewagusa vipi hadi kuacha Nchi zao na kwenda kujazana huko.
 
Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Aliyeruhusiwa kuwa na msafara wake binafsi ni Joe Biden tu, tena baada ya mvutano kidogo. Huwezi ruhusu viongozi takribani 500 kila mmoja awe na msafara wake. Jua kuwa wako salama na tuache inferiority complex na kulalamika kila kitu.

US President Joe Biden allowed to drive in for Queen Elizabeth II’s funeral in a convoy, while other world leaders were lumped into a bus​

(US President Joe Biden allowed to drive in for Queen Elizabeth II?s funeral in a convoy, while other world leaders were lumped into a bus (video))​



Soma hii link
 
Tuelimike kidogo[emoji3][emoji3][emoji3]Kila Rais iwapo atapewa just 6 Car motorcadeX50+ Marais London kutakuwa na gari ngapi?? Na je ukiongeza matajiri wa Dunia na USA president na msafara wake 100+Staff Itakuwaje?? Hili bus aliopanda Rais Samia na wengine mimi na wewe ata iweje atutolipanda! Hii imefanywa kutokana na kupunguza Trafic na Kuweka usalama makini- kulinda Bus lenye maraisi 20 ni kazi ndogo kuliko kulinda motorcade 20
Ilitakiwa iwe vivyo hivyo mpaka kwa biden.
 
Hapo kwenye Machawa hapoooooooo nacheka kama mazuri,

Kwanza kwa Maraisi hawa Wapya wala hawakutakiwa kwenda wangetuma wawakilishi tu, hawajawahi kukutana Live na Marehemu sasa huo Msiba umewagusa vipi hadi kuacha Nchi zao na kwenda kujazana huko.
Tuache chuki za kipuuzi, wakuu wa nchi zote za Commonwealth wamealikwa na itifaki inafaa wahudhurie wao wenyewe.

Huwezi kuupata mkusanyiko huu wa kihistoria Tena mpaka unakufa.

Wabongo tumevuka kiwango cha chuki na roho mbaya.
 
Kama ni kawaida mbona Biden hajapanda?
US ni superpower, na hakuna yeyote duniani mwenye akili timamu anaye-dispute. Kwendana na taratibu za Marekani, Rais amekuwa restricted kupanda usafiri maalamu.

Ni viongozi wawili pekee duniani nje ya UK kama sijakosea, waliopewa kibali cha kuwa na private motorcade, na hata motorcade ya Biden imekuwa scaled down tofauti na kawaida.

Viongozi wengine wote, kwanzia Europe, Asia, Latin America, North America, and etc wamepanda mabasi na wameona ni sawa kwendana na protocol.
 
IMG-20220919-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom