Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
1663597098037.png


Naona kama kuna battalion ya masaai
 
Hiii ishu IPO no. one trending in Africa right now nafikili [emoji16][emoji16] hawa viongozi sijui wanajiskiaje wakiona jinsi ishu yao yakupakiwa kwenye bus inavyojadiliwa Sana na raia wao.
Ukiherehere wao kwa kupenda picha
Acha waisome

Mbona kina Tony Blair wameshuka kwenye Bus bila picha sasa hivi tunawaona wako Windsor?
 
R.I.P Queen ElizabethII.
watanzania tupo pamoja na familia ya Malkia na waingereza wote katika maombolezo ya kifo cha malkia.
Ona huyu bibi vile alimpa Nyerere mapokezi ya kifalme kwenye State visit ya Nyerere UK.

Wachambawima wengi humu hawaelewi lolote.

 
Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.

Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.

Mheshimiwa Rais alifanikiwa kukaa seat pendwa ya dirishani baada ya kukuru-kakara za hapa na pale.
20220919_112123.jpg
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.

View attachment 2361396
Kwa jinsi tulivyo badala ya kumpa Mh. Rais moral support, basi tutamvunjia heshima yake zaidi as if yeye kajipandisha kwenye hilo gari...Nadhani ili kulinda heshima yetu tuanzishe movement ya petition tu sign against hiyo tabia ya kibaguzi iliyofanywa kwa viongozi wakuu wa nchi duniani kasoro zile zilizotajwa...Tuonyeshe mshikamano wetu kama dunia kuwapinga hawa mabeberu dhidi ya hiyo tabia yao mbaya ya kibaguzi...Hata ikibidi tuiunge Rusia ili hawa wakome wasirudie katu hii tabia yao mbaya na chafu kwa watu wa dunia.

Hii ni dharau kwa kila raia wa nchi ambaye kiongozi wake amebaguliwa...Shame shame to U.k!
 
Aibu ipo wapi sasa hapo jamani?
Wageni woote wale kila mtu aingie na msafara itakuwaje?
Tuache kaushamba kidogo
Mi sioni aibu bali naona dharau...Wangetafuta treatments ambazo hazitabagua viongozi wakuu wa nchi, mojawapo ni kutowaalika kwenye msiba physically bali kutoa access kwenye balozi zao huko waliko...Na isingebagua nchi hata moja
 
..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.

.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
 
Kwa biden kuwa na usafiri maalumu inaeleweka, kwa waziri mkuu kwa israel ni kwaajili ya nini anaejua anisaidie
 
..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.

.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
Hapo sasa!
 
Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
Mialiko ya jumla ndugu hakuna mwaliko rasmi wa samia hii Commonwealth countries tambua hilo.
 
Back
Top Bottom