Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani jamaa akidondosha kitu kizito Africa yote chali - tunarudi kwenye uchaguzi tena.Viongozi wa nchi kuwajaza kwenye basi ni disrespectful na very risky hata kama usalama ni uhakika.
Wamewageuza watoto wa shule, that's a bit much.
Ukiherehere wao kwa kupenda pichaHiii ishu IPO no. one trending in Africa right now nafikili [emoji16][emoji16] hawa viongozi sijui wanajiskiaje wakiona jinsi ishu yao yakupakiwa kwenye bus inavyojadiliwa Sana na raia wao.
Ona huyu bibi vile alimpa Nyerere mapokezi ya kifalme kwenye State visit ya Nyerere UK.R.I.P Queen ElizabethII.
watanzania tupo pamoja na familia ya Malkia na waingereza wote katika maombolezo ya kifo cha malkia.
Jamani dah ulinzi uko vizuriHapo wanakabidhiwa kiwanja kwa muda kuweka mambo yao sawa
Haha Scots hao halafu kama wamasai
[emoji16][emoji16] ila hii aibu wakirudi sijui wanaanzia wapi kutuletea zile mbwembwe zao za misafaraUkiherehere wao kwa kupenda picha
Acha waisome
Mbona kina Tony Blair wameshuka kwenye Bus bila picha sasa hivi tunawaona wako Windsor?
Saidia kuwatoa tongotongo baadhi ya watu wana mind-set ya ajabu sana,Wageni woote wale kila mtu aingie na msafara itakuwaje?
🤣Haha Scots hao halafu kama wamasai
Mascot asili akivaa Kilt havai chupi
Kwa jinsi tulivyo badala ya kumpa Mh. Rais moral support, basi tutamvunjia heshima yake zaidi as if yeye kajipandisha kwenye hilo gari...Nadhani ili kulinda heshima yetu tuanzishe movement ya petition tu sign against hiyo tabia ya kibaguzi iliyofanywa kwa viongozi wakuu wa nchi duniani kasoro zile zilizotajwa...Tuonyeshe mshikamano wetu kama dunia kuwapinga hawa mabeberu dhidi ya hiyo tabia yao mbaya ya kibaguzi...Hata ikibidi tuiunge Rusia ili hawa wakome wasirudie katu hii tabia yao mbaya na chafu kwa watu wa dunia.Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Mi sioni aibu bali naona dharau...Wangetafuta treatments ambazo hazitabagua viongozi wakuu wa nchi, mojawapo ni kutowaalika kwenye msiba physically bali kutoa access kwenye balozi zao huko waliko...Na isingebagua nchi hata mojaAibu ipo wapi sasa hapo jamani?
Wageni woote wale kila mtu aingie na msafara itakuwaje?
Tuache kaushamba kidogo
Hapo sasa!..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.
.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 mbona everyone else🤣🤣🤣🤣
Mialiko ya jumla ndugu hakuna mwaliko rasmi wa samia hii Commonwealth countries tambua hilo.Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa