I don't see the problem.
What I have seen is, they tried to minimize cost and simplify arrangements for the farewell.
Then we have to learn from them.

Kwasababu kwenye nchi yetu pamoja na maisha kuwa ya chini na kuwa tegemezi lakini bado misafara ya viongozi ni mingi kila mahali.
Hawako tayari kushare hata kama wanaenda kwenye eneo moja kwa kigezo cha protocol! Angalau haya mazishi yawafundishe kutembea hata kwa mguu wakienda bungeni kutokea nyumbani. Kama yule mbunge anaeendaga na baiskeli! (Sikumbuki ni wa jimbo gani)

Mama yeye hata ndani ya Ikulu tu anakuwa na msafara! 😲
 
Kwa nini hawa wawili, wamepewa hiyo nafasi?
Sasa utakuwa na akili timamu ukihoji upekee wa Israel na Marekani?

Kama vitu vidogo tu kama hivi unashindwa kupambanuwa basi nenda chitchat hili jukwaa limekuzidi kimo.

Maana baadaye utahoji Kwa nini Marekani wana kura ya Veto kisha utahoji Kwa nini Rais wa world bank anachaguliwa na Marekani?
 
Eneo lote la Westminster Abbey lilikuwa limewekewa ulinzi aijawahi tokea katika historia ya Uingereza kuanzia jana usiku.

Viongozi wa kigeni nje ya nchi security details zao zinakuwa chini ya nchi husika.

Njia ya kwenda kanisani ni moja tu, na imejaa waombolezaji. Ni siku ya msiba wa Queen sio mkutano wa ki mataifa; focus yao walitaka ibakie kwenye msiba sio njia ijaze vin’gora vya viongozi.

Raisi wa marekani security details zake wanapanga nchi yake na ulinzi wake unagharamiwa na US; na si chini ya watu 500 sio ajabu kuzudi wanasafiri nae popote duniani na protocol zao apandi gari lolote zaidi ya gari lake, wanapanga snipers wao njia nzima anayopita kama ilivyo US na wanaweka ground troops popote anapoenda ni sehemu ya ulinzi wake.

If anything marekani hapo ilisaidia ulinzi kwa gharama zao kwa kiasi kikubwa.

Kwa wengine wanaotegemea ulinzi wa U.K. utafuata plan zao tu, anyway eneo lote lilikuwa salama.
 
Na hichi ndo walipakodi wa Tanzania wanapaswa kukiona.
 
Hujajibu swali bado?
 
Kuna mtu nilikuwa namweleza, hopeful akisoma ataelewa. Wengi wanalalamika kwa kutokuwa na exposure ya mambo.
 
Kuna mtu nilikuwa namweleza, hopeful akisoma ataelewa. Wengi wanalalamika kwa kutokuwa na exposure ya mambo.
Mie nilichojifunza ni kwamba Afrika haipaswi kufuata sana misingi ya kikoloni wakati mwingine ilinde mila na desturi zake.

Ni sawa na mtu wa kijiji akipata mgeni kutoka mjini, anamchinjia kuku, mbuzi au hata ng'ombe na kuingia gharama kubwa; ilihali yeye akienda mjini anakuta ugali na kabichi ikiwa kwenye familia hiyo ndio ratiba ya mlo wa siku hiyo! Tujifunze!😀
 
Sisi tunachoshaga ni wao kuwa MIUNGU WATU wakiwa kwa walipa kodi wao wanaowalisha na kuwavisha.
Hebu imagine Rais bado hata hajapiga mswaki barabara imeshafungwa!
Hicho ndicho watu wanachoshangaa. Marais wetu hawatuthamini kabisa sisi walipa kodi wao. Na sisi watutambue kuwa ni watu kama;walivyo wazungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…