Mashaka yangu tuu hakuna hata Mzungu raisi ndani ya hako kabajaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashaka yangu tuu hakuna hata Mzungu raisi ndani ya hako kabajaji
😆 😆Na hivi wamekutana na wafalme wote
Hapo wataomba mpaka walie
Then we have to learn from them.I don't see the problem.
What I have seen is, they tried to minimize cost and simplify arrangements for the farewell.
Sasa utakuwa na akili timamu ukihoji upekee wa Israel na Marekani?Kwa nini hawa wawili, wamepewa hiyo nafasi?
Eee ndio wanalinda maraisi wote hawa ambao wameitwa everyone elseUnawajuwa MI6?
Na hichi ndo walipakodi wa Tanzania wanapaswa kukiona.Then we have to learn from them.
Kwasababu kwenye nchi yetu pamoja na maisha kuwa ya chini na kuwa tegemezi lakini bado misafara ya viongozi ni mingi kila mahali.
Hawako tayari kushare hata kama wanaenda kwenye eneo moja kwa kigezo cha protocol! At least haya mazishi yawafundishe kutembea gata kwa mguu wakienda bungeni kutokea nyumbani.
Kama mama yeye hata ndani ya Ikulu tu hadi msafara!😲
Hujajibu swali bado?Sasa utakuwa na akili timamu ukihoji upekee wa Israel na Marekani?
Kama vitu vidogo tu kama hivi unashindwa kupambanuwa basi nenda chitchat hili jukwaa limekuzidi kimo.
Maana baadaye utahoji Kwa nini Marekani wana kura ya Veto kisha utahoji Kwa nini Rais wa world bank anachaguliwa na Marekani?
Kuna mtu nilikuwa namweleza, hopeful akisoma ataelewa. Wengi wanalalamika kwa kutokuwa na exposure ya mambo.Eneo lote la Westminster Abbey lilikuwa limewekewa ulinzi aijawahi tokea katika historia ya Uingereza kuanzia jana usiku.
Viongozi wa kigeni nje ya nchi security details zao zinakuwa chini ya nchi husika.
Njia ya kwenda kanisani ni moja tu, na imejaa waombolezaji. Ni siku ya msiba wa Queen sio mkutano wa ki mataifa; focus yao walitaka ibakie kwenye msiba sio njia ijaze vin’gora vya viongozi.
Raisi wa marekani security details zake wanapanga nchi yake na ulinzi wake unagharamiwa na US; na si chini ya watu 500 wanasafiri nae popote duniani na protocol zao apandi gari lolote zaidi ya gari lake, wanapanga snipers wao njia nzima anayopita na wanaweka ground troops popote anapoenda ni sehemu ya ulinzi.
If anything marekani hapo ilisaidia ulinzi kwa gharama zao kwa kiasi kikubwa.
Kwa wengine wanaotegemea ulinzi wao utafuata plan zao tu, anyway eneo lote lilikuwa salama.
Watafirisika, maana hela watazo wekeza na hela watazo ingiza havito endanaMabasi yao mazuri sana kampuni za magari waagize kama hayo
Mie nilichojifunza ni kwamba Afrika haipaswi kufuata sana misingi ya kikoloni wakati mwingine ilinde mila na desturi zake.Kuna mtu nilikuwa namweleza, hopeful akisoma ataelewa. Wengi wanalalamika kwa kutokuwa na exposure ya mambo.
🤣🤣🤣🤣🤣 mbona everyone else🤣🤣🤣🤣Eee ndio wanalinda maraisi wote hawa ambao wameitwa everyone else
Africa inatakiwa itawaliwe tena kwa miaka 100 ili tufikie ustaarabu wa wenzetu, sisi bado mno though tuna kila aina ya mali asili.Wanatabasam tu wenyewe.[emoji16]View attachment 2361407
Sisi tunachoshaga ni wao kuwa MIUNGU WATU wakiwa kwa walipa kodi wao wanaowalisha na kuwavisha.Ulivyokuwa huna akili wewe na wenzako mmeshindwa kutofautisha kati state visit na msiba.
Fuatilia wakati huyo bibi Marehemu alipokuwa hai Nyerere alipokewaje?
Nyerere mtu mweusi alipewa mapokezi ya kifalme, kwao magari siyo heshima Bali kile kitololi cha kukokotwa na farasi ndio heshima ya juu.
Humu wengine ni uzao wa JK basi mnatomboka tu kama mataahira.
andika watanzania tumo ndani ya bus tunakwenda kwenye mazishi.R.I.P Queen ElizabethII.
watanzania tupo pamoja na familia ya Malkia na waingereza wote katika maombolezo ya kifo cha malkia.