Kwani shida ni nin tena kama hao marais wengine nchi za ulaya nap wametumia usafiri wa basi
 
Daladala Beat na BUZZ GSM.


Tumedhalilishwa sana Waafrika, bora hizo gharama walizoingia wangenunua chakula kwa watu wasio na uwezo Mungu angewapa thawabu
 
Nchi ngumu Sana hi jmn Marais kupanda mabas unapandisha Uzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tatizo hawawezi ficha chuki zao dhidi ya Mama wa watu kwa ujinga wao tu. Kwa idadi ya viongozi hiyo it's impossible kila kiongozi kwenda kwa msafara wake.

Chato gang chuki zinawaendesha sana! Wanafurahia Samia kupanda basi sijui kwa Samia kupanda basi wao wanafaidika nini? Hawana akili kabisa
 
Lete picha ya Rais wa ufaransa au waziri mkuu wa Canada au viongozi wa G7 waliopanda yutong Acha kutetea haya madharau.usitete ukoloni mamboleo.usiwe kipingamizi wa afrika mpya.
 
Hili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.

Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.

Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

Ndio sisi wengine tunaotoka Ngangamfumuni hatuna habari nao Kazi inaendeleaa

Simnajifanya miungu mtuuu,acha dawa iwaingie

Ila wazungu original ni wabayaa basi lote wamejaa Viongozi wa Kiafrica
 
Ha! Ha! Ha!
Hakika Bi. Mikopo amechokwa na watanganyika
 
Achaa maneno weka picha

Kiswahili ya nini wekaa pichaa
 
Lete picha ya Rais wa ufaransa au waziri mkuu wa Canada au viongozi wa G7 waliopanda yutong Acha kutetea haya madharau.usitete ukoloni mamboleo.usiwe kipingamizi wa afrika mpya.
Hawa ndiyo wanaouchelewesha uhuru wa Africa...Saa hizi Urusi inatupa nafasi hawa wa hivi ndiyo ukute washauri wa viongozi wetu ambao walitakiwa kukasirika na kufanya kweli kwakua Mungu mwenyewe katupa nafasi ya kuona chuki ya wazi ya hawa nyakati hizi Rusia inapopambana kubadili mfumo wa dunia
 
Watoto wasiojua mambo haya waelezwe kwamba msibani hatutafuti umaarufu hata kidogo huo ni utaratibu wa kawaida kabisa na jua tukio hili ni kubwa,issue ni kushiriki msiba then kurudi nyumbani kazi iendelee.
 
Jikite kwenye mada mkuu... Chato gang ndio ipo kwenye school bus?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…