Wahiyo walisubiriana uwanja wa ndege??Aibu ipo wapi sasa hapo jamani?
Wageni woote wale kila mtu aingie na msafara itakuwaje?
Tuache kaushamba kidogo
Tusikuze mambo. Naamini hata katika arrangement hiyo,itifaki na heshima ya hadhi za marais wote hao imezingatiwa.
Well, stori kuhusu Obama na Saudi King ni fact. Hiyo ya Nyerere sina uhakika sana. Hata hivyo kuna episodes nyingi zinazomhusu Nyerere zinazoonyesha jinsi alivyotambua maana ya image ya Rais wa nchi kwa taifa lake.Hamnaga argument based on hearsay & conspiracy mkuu. Argument inajengwa na facts.
Kumbe uwezo wa kukaa na kujazana ndani ya basi upo tu😂😂 na kumbe hata wao ni binadamu tu kama sisi. Sasa kwa nini huwa wanajikweza huku?😀😀
Sema bimkubwa kinamna kama anajiziba uso asionekane😁
View attachment 2361420
View attachment 2361410
Watu wa USALAMA hii naomba muiweke kwenye kumbukumbu zenu muhimu.
Next time msimpeleke RAIS huko kwenye matukio ya dizaini hii
Pelekeni hata waziri
Rais kadhalilishwa sana.
Sio kazi yangu kukuletea hayo, tangu last week walitoa utaratibu wote na Joe Biden akaruhusiwa kuwa na msafara wake. Sasa wewe pangu pakavu unataka uwe sawa na wanaokulisha. Ulitaka viongozi wote 500 waruhusiwe kuwa na misafara yao. Biden mwenyewe amepewa hadi idadi ya magari yaliyoruhusiwa. Tafuta wewe mwenyewe na uache kusumbua watu, mabasi yalikuwa mengi tu na hiyo picha inayotrend ni wenyewe wamejipiga picha. Yaani sisi pangu pakavu tuna matatizo sana, kutwa kulalamika bila logic na kutwa kusumbuliwa na inferiority complex.Lete picha ya Rais wa ufaransa au waziri mkuu wa Canada au viongozi wa G7 waliopanda yutong Acha kutetea haya madharau.usitete ukoloni mamboleo.usiwe kipingamizi wa afrika mpya.
Mkuu hayo ya kupandishwa mabasi ni power relations tu. Ni yule anayejihisi mkubwa kutaka kumwonyesha yule anayemwona mdogo kuwa hilo basi ndiyo nafasi yake anayostahili. Ogopa sana mkuu wa nchi kuchukulia hilo jambo kwamba it's OK. Israel ni nchi ndogo sana na wala haipo kwenye G7 but those guys believe and think as if they rule the world. Na prime minister wao hawezi kukubali kupandishwa basi. Ni haya matakataka ya kiafrika tu.Viongozi wote wa G7 hawajapanda basi
Wote wamebebwa kwenye mabasi tofauti mpaka Wafalme wa nchi zoteSasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...
Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Huna akili afadhali ya kamongo ana nafuu kuliko wewe, hahahaha wajinga na washenzi siku zote hawawezi tambua uduni wao.Mimi ni mtu mwenye akili sana, ukweli humu wengi wenu na wewe ukiwepo hamna akili kabisa empty set, upstairs ghorofani huko juu hakuna kitu kabisa
Huyo wa mbele ndie Mulamula mbona kanenepa hivyo?Ndo kaingiaView attachment 2361439
Sio kweli hao wa kwetu wamejionyesha na selfie kama watoto wa shuleViongozi wote wa G7 hawajapanda basi
Kiongozi gani zaidi ya viongozi wa AfrikaNi Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399