Mc wa msiba alichanganya mafaili usafiri wa basi lilikuwa la wana kwaya wa Edinburg ila Mc ameomba radhi kwa kile kichotokea[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaani rais wa Marekani ndio karuhusiwa kuingia Buckingham na msafara wake, marais wengine toka nchi nyingine duniani wamepakiwa kwenye mabasi, yani hawajapewa hadhi ya urais kabisa, hizo si dharau jamani, hlf pia ni security threat kwa hao marais.

Wao wakija huku, tunasafisha hadi barabara
 
 
Habari bila picha/video clip sawa na takataka tu.
Mbona wahuska hawana shida.kwani wangepanda magari binafsi angefufuka?
 
Nchi Ina amani hilo lisi kushangaze huko ni jambo la kawaida kumuona kiongozi wa juu akiendesha baiskeli mtaani bila walinzi na kujichanganya na Raia Ndiyo maana huoni wanajeshi wamebeba bunduki kama kwenye msiba wa jiwe na kusukuma watu ovyo
Africa udikteta wa Viongozi na Rushwa ndizo zinafanya Viongozi waishi Kwa hofu
 

..Viongozi wa Afrika walistahili kupandishwa kwenye lori la FUSO.
 
Kazana baba yasiwe ni maneno tu kumbuka bado tunatawaliwa sijui huyo mtoto wako utamfundishaje labda ujenge shule yako na mitaala isiwe hii tuliyonayo hapo utafanikiwa.
Atakuwa Rais kisha atarekebisha, kama mimi sintofanikiwa kuwa na kuleta mageuzi...Nimemwandaa tangu anazaliwa. Ole wao!
 
Kule ni ugenini kwa watu lazima ufuate taratibu zao,misafara iwekeni mkiwa kwenu.
 
Pumbaf kweli, hiyo Bus mpaka kufa kwako hutakaa upande kwenda kumzika malkia wala mfalme London.
Na bora sintoipanda, sitamani hata kuigusa siyo kupanda....Unabahati matusi hayapo kwenye dictionary ya moyo wangu!πŸ˜‚

Ondoa hizo stress kwanza akili itakukaa vizuri, badala ya kugombana na akili yako ya kitumwa unanitusi mie usiyetegemea hata kuniona, what a mind!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…