Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
Hivi wakiruhusu kila Rais aende na gari zake patatosha?
Na biden (Rais wa Marekani) msimfananishe na Marais wengine duniani, analindwa kwa gharama yeyote. Na ni Rais wa Taifa kubwa sana.
Kukaa kwenye basi sioni shida. Walikuwa kwa msiba sio tatizo.
Mnaosema walienda kufanya nini ni akili ndogo sana. Kama unajua ulimwengu unavyofanya kazi huwezi uliza hilo
Na nchi za jumuia ya madola ndio haziwezi kwepa hili la kwenda, kama hakuna sababu ni sawa nikukataa kuwa sehemu yao