Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Ni jambo la kawaida hilo, msiba wa Mwalim Nyerere tuliwahi wapandisha marais kwenye ma basi. Pia miaka ya juzi juzi tuliwahi wa pandisha marais wa africa mashariki kwenye coster kwenda kuzindua barabara.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajitetea sana... samia kaaibika sana maskinii

Amejikunyata dirishani kwa hofu anatamani kujificha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Hao apo wengine wazungu na waarabu wakishuka kutoka kwenye mabasi.



Hapo wakiingia kanisani kwa pamoja waliokuja na mabasi.

Checkpoint ya viongozi karibu wote ilikuwa ‘Chelsea’ ni two miles na msibani ndipo magari yao walipoachia na kupanda mabasi waliyoandaliwa na eneo lenyewe sehemu kadhaa zilifungwa na ulinzi mkali njia nzima.

Mengine malalamiko tu yasiyo na msingi.
 
Aiseee
Screenshot_20220919-210558~2.jpg
 
Acheni utoto hapa ,lazima mjuwe na mfahamu kuwa tukio la msiba wa malikia limekusanya viongozi wote karibu kila Kona ya Dunia, hivyo isingekuwa na uwezekano wa kuweka msafara kwa kila kiongozi, ndio maana wakatumia utaratibu huo ili kurahisisha hata suala Zima la usalama na hata namna ya foleni njiani , Hivyo huo ndio ulikuwa mkakatika mzuri wa kuwafanya Marais wetu kufika enei la tukio kwa ulahisi zaidi na kwa usalama mzuri,
 
Yaani rais wa Marekani ndio karuhusiwa kuingia Buckingham na msafara wake, marais wengine toka nchi nyingine duniani wamepakiwa kwenye mabasi, yani hawajapewa hadhi ya urais kabisa, hizo si dharau jamani, hlf pia ni security threat kwa hao marais.

Wao wakija huku, tunasafisha hadi barabara
Rangi nyeusi tunabaguliwa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli safi sana baba!

Huu ujinga ulikuwa hauvumiliki kwako!

Ila kwa wapumbavu wakapiga mayowe eti tutakufa kwa njaa!

Oneni sasa aibu hii!
Bado unaabudu mfu? Kweli wewe umevurugwa.

Magufuli ni dead Man hana hesabu Tena duniani, ukiweza jinyonge ujumuike naye kuzimu.
 
Acheni utoto hapa ,lazima mjuwe na mfahamu kuwa tukio la msiba wa malikia limekusanya viongozi wote karibu kila Kona ya Dunia, hivyo isingekuwa na uwezekano wa kuweka msafara kwa kila kiongozi, ndio maana wakatumia utaratibu huo ili kurahisisha hata suala Zima la usalama na hata namna ya foleni njiani , Hivyo huo ndio ulikuwa mkakatika mzuri wa kuwafanya Marais wetu kufika enei la tukio kwa ulahisi zaidi na kwa usalama mzuri,
Kupanda basi sio jambo la kushangaza.

Kinachoshangaza ni kuona kumbe hata MIUNGU WATU wanaweza kusondekwa kwenye DALADALA na wakatulia tulii bila kuleta fujo.

Ona samia kajiziba mdomo anatamani kujificha. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio dharau at all let me put it in this way:

Hao ni head of states wa nchi tofauti tofauti wako kwenye UK soil anything kikitokea kwao uk anatakiwa kutupa majibu so security yao ni priority kubwa

With that being said i think M16 and all the law enforcement agencies haziwezi kukubali kuwa split kila mmoja apewe ulizi kivyake it’s so hard kuwa monitor wote wakiwa kwenye misarafa yao binafsi that’s why for security reasons it’s easier kuwalinda wakiwa wote pamoja.

Na kwakuongezea viongozi wetu hawasafiri na ulinzi mwingi sana kama mfano marekani kiongozi popote anapo enda anaenda na almost team yake nzima ya ulinzi na magari yake plus ulinzi mwengine unatangulia kabla yeye hajafika


All in all hao tunawaona ni viongozi wakiwa huku tu ila wakienda huko wanakua kama viranja tu
 
Back
Top Bottom