Mbona wachina,wahindi au nchi za kiarabu na Asia zimewafikia?viongozi ovyo wenye mawazo kama yako ambayo hawana maono ndo wanaotufanya tusifikie hapo na waafrika wasiofirikia Mbali kama wewe.Hatukatai kubaguliwa,
Ila nawee kujifananisha na Mzungu hiko kitu hakiwezekani na haitowezekana, sababu wamekuzidi kila kitu ' na wala hutowafikia mpaka Dunia itakwenda kuzimu,
Umeongea vzr kiongozi kuvutumisha ma v8 ni kuwapa mzigo wananchi..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.
.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
Yaani huyu alikua mtaalamu wa kuwakomesha hawa mabwana sema ndio hivo walimzidi akili
Au hata angemtuma Balozi wetu pale UK akawakilishedaaah! ningelikuwa raisi nisingetuma salamu za rambirambi wala kwenda popote, tujifunze sasa sijamsikia museven
Kwani ukiwa na uchumi mkubwa ndio hutashirikiana na wenzako katika matatizo? Wewe kwa upeo wako unazani misafara ingeisha saa ngapi au lini Kama wangesema kila kiongozi spite kwa msafara wake? Hao Polisi wakifanya kazi hiyo wangetoka wapi? Unajuwa no maeneo mangapi yalikuwa yanahitaji kuimarishwa kiulinzi na kiusalama? Tuache ushamba na ulimbukeni, mh Rais wetu mpendwa katuwakilisha vyema watanzaniaSuluhisho ya yote haya ni Sisi waafrika tujenge uchumi wetu tuwe na uchumi mkubwa tushindane na nchi za Asia na afrika.wanatudharau Kwa sababu pamoja na ukweli kwamba tunakila Aina ya maliasili bado nchi zetu ni masikini Sana kiasi kwamba tunategemea misaada kwao ni wakati wa waafrika kuamka na kuwakaa viongozi ovyo wasio na maono.
Ukiwa na uchumi mkubwa huwezi kupandishwa Kwenye yutong,Mfano Rais wa France au China au canada au Russia au marekani au waziri mkuu wa Japan au nchi yoyote kubwa hawawezi kurundikwa kwenye hiyo yutong.hapo wametoa heshima Kwa kuangalia wewe ni nani.au Kwa mfano Rais wa afrika kusini kama yupo kapandishwa kwenye yutong IPi.fungueni akili zenu tujenge nchi zetu.watakuheshimu vipi wakati wanajua wanarais wa Africa ni WA michongo?Amka wewe Acha Kulala.Kwani ukiwa na uchumi mkubwa ndio hutashirikiana na wenzako katika matatizo? Wewe kwa upeo wako unazani misafara ingeisha saa ngapi au lini Kama wangesema kila kiongozi spite kwa msafara wake? Hao Polisi wakifanya kazi hiyo wangetoka wapi? Unajuwa no maeneo mangapi yalikuwa yanahitaji kuimarishwa kiulinzi na kiusalama? Tuache ushamba na ulimbukeni, mh Rais wetu mpendwa katuwakilisha vyema watanzania
alafu wamama wanapendaga sana siti ya dirishani,"muheshmiwa Ruto nadhani ungeniacha mimi nikae dirishani".Viongozi wengi wa Africa ni wa hovyo sana!
Ktk hii picha ukiwaangalia wengi hawakuwa comfortably humo kwenye bus hata huyo Samoa mwenyewe ameona noma yaani wanajikuta kama wao ni class flani hivi hawatakiwi kupanda kitu tofauti na SUVs,ndege au boat spesho ila muangalie Ruto Rais wa Kenya anaonekana kabisa kufurahia kitendo hicho.View attachment 2361863
Kwani ukiwa na uchumi mkubwa ndio hutashirikiana na wenzako katika matatizo? Wewe kwa upeo wako unazani misafara ingeisha saa ngapi au lini Kama wangesema kila kiongozi spite kwa msafara wake? Hao Polisi wakifanya kazi hiyo wangetoka wapi? Unajuwa no maeneo mangapi yalikuwa yanahitaji kuimarishwa kiulinzi na kiusalama? Tuache ushamba na ulimbukeni, mh Rais wetu mpendwa katuwakilisha vyema watanzania