Kama wamehakikishiwa usalama hata kwenye bodaboda wangepandishwa achilia bus la hadhi.
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha [emoji1].

View attachment 2361396

Ruto amefurahia sana hii kitu. Hata mimi sioni tatizo lolote. Hawa kenge hawawezi kuwa more important kuliko wapigakura wao!
 
Waafrica na akili zao fupi ndio wanaoona Raisi kupanda basi ni kitu cha ajabu,mwafrica maskini wa fedha maskini wa akili yaani tabu tupu
 
African presidents in a bus as they headed to Birmingham Palace in United Kingdom for the funeral service of the late Queen Elizabeth II on September 19, 2022.

Your thoughts




African hub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…