Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
IMG-20220919-WA0027.jpg
 
Wakome kujipendekeza, wanatumia mamilioni ya kodi za watu wao ili kwenda kudhalilishwa kwenye kwenye msiba wa kibubi cha kizungu
Wamedhalilishwa kivipi? Kwann kelele ni mtu mweusi tu tena mwomba misaada? Why not China, India,Canada, France, Egypt, UAE, Germany and etc ambao wamepanda mabasi?
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Manake apo kwanza nicheke. Mkiambiwa hapendwi kwa sababu nchi za Afrika viongozi wengi ni matapeli muwe mnaelewa. Hii ilikuwa nikuwapa ujumbe nyie ngozi nyeusi kwamba kupata uongozi sio kutumia magari ya gharama na kuumiza wananchi View attachment 2361668
Umeshasema Joe Biden, sijui unataka jibu gani lingine
 
Back
Top Bottom