Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nchi ipo kwenye mikono Salama kabisa.Wakina Bond, James Bond.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ipo kwenye mikono Salama kabisa.Wakina Bond, James Bond.
Mimi ni mtu mwenye akili sana, ukweli humu wengi wenu na wewe ukiwepo hamna akili kabisa empty set, upstairs ghorofani huko juu hakuna kitu kabisaHivi wewe unajionaje labda?
Nawewe ziba makalio yako ukiweza, huoni yapo wazi?Kwanini kajiziba mdomo?
Amedhalilishwa Nini? Wewe una ufalme mentality. Kutukuzwa , kuabudiwa and the like!Wakome kujipendekeza, wanatumia mamilioni ya kodi za watu wao ili kwenda kudhalilishwa kwenye kwenye msiba wa kibubi cha kizungu
Wamedhalilishwa kivipi? Kwann kelele ni mtu mweusi tu tena mwomba misaada? Why not China, India,Canada, France, Egypt, UAE, Germany and etc ambao wamepanda mabasi?Wakome kujipendekeza, wanatumia mamilioni ya kodi za watu wao ili kwenda kudhalilishwa kwenye kwenye msiba wa kibubi cha kizungu
Umeshasema Joe Biden, sijui unataka jibu gani lingine[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Manake apo kwanza nicheke. Mkiambiwa hapendwi kwa sababu nchi za Afrika viongozi wengi ni matapeli muwe mnaelewa. Hii ilikuwa nikuwapa ujumbe nyie ngozi nyeusi kwamba kupata uongozi sio kutumia magari ya gharama na kuumiza wananchi View attachment 2361668
Biden ni Rais wa Dunia .Biden anatua na beast, ambulance, jammer na gari zingine kadhaa afu umuweke kwenye yutong 😀
Nani Kati ya hao kaenda na usafiri wake wa chini kama Biden?
Kwenye hilo bus umemuona rais gani mzungu? Nionyeshe maraisi wazungu wakiwa kwenye basiAmedhalilishwa Nini? Wewe una ufalme mentality. Kutukuzwa , kuabudiwa and the like!
Nao marais wa Afrika wana viherehere sana, kwani walikazimishwa kwenda? Wangebaki tu waenjoy ving'oraWakome kujipendekeza, wanatumia mamilioni ya kodi za watu wao ili kwenda kudhalilishwa kwenye kwenye msiba wa kibubi cha kizungu
Ina trend sio Tanzania tu, Africa kumewaka.Hiii ishu IPO no.one trending in Africa right now nafikili [emoji16][emoji16] hawa viongozi sijui wanajiskiaje wakiona jinsi ishu yao yakupakiwa kwenye bus inavyojadiliwa Sana na raia wao.
Yule ni rais wa NCHI mkuu utampandishaje kwenye kibasi cha kimbinyiko? hawa wengine ni marais wa vinchi....[emoji1][emoji1]Kwanini biden hajapanda basi kama WENZIE akina SAMIA [emoji1787][emoji1787]
Yaani hawa ni maraisi wa hadhi ya chini kabisa. Wamgeziheshimu fedha za walipa kodi waoNao marais wa Afrika wana viherehere sana, kwani walikazimishwa kwenda? Wangebaki tu waenjoy ving'ora
Kabisa hata yule mzalendo wa Zambia yupo zake NY kwenye mkutanoKwa sababu kuna kitu kinaitwa 1st World countries… Buhari hakutaka haya yupo New York.. kiherere kwa kizungu wanasemaje vile?