Taarifa feki na wewe unaisambaza. Eti million mia. Tafuta kurasa maalum wa CHADEMA karatu. Punguza uongo.
 
Nyie takataka mumeshindwa kujibu hoja za Bashiru mnahangaika na Chadema ambayo mnadia siku zote imeshakufa , wapumbavu sana nyie.
Chadema ni shida hii ofisi haizidi 20 milioni
 
Hiyo nyumba ikizidi sana mil 20. Kumbuka wamesema bado umeme na maji havijawekwa. Maana yake kuna wezi ndani ya chadema kuliko ndani ya ccm. Hapo wakipewa nchi tujipange
 
Unapaswa kufanya balance ya hii kitu,ujiridhishe kama ni taarifa rasmi ya chadema then ndio ufanye hitimisho lako.Umelishwa tangopori na wewe umekuja huku kupanua vidole badala ya kupanua ubongo.Wajuzi tunakupuuza na kukuona mshamba tu wa karne
Imefika tayari hiyo Ndio maana mapovu
 
Tuliwahi hamasishwa tuchangie ofisi, ndani vikao vyetu tukaweka mikakati mbalimbali juu ya chama chetu kuwa na ofisi ya hadhi itakayofanana na Chadema lakini wapi.

Ni aibu kwa chama kama hiki kukosa ofisi ya hadhi stahili, tunaomba ruzuku ambazo zimeanza kuingia tusilipane posho, tujenge ofisi za chama chetu.
 

Attachments

  • IMG_20230115_094604_443.jpg
    108.4 KB · Views: 3
Wewe sio Chadema, CHADEMA wanajua ujenzi wa ofisi za chama unaondelea Kila mahali. Hebu kaa kimya acha kujidharaulisha
Acha kuudanganya umma. "eti chama kinajenga ofisi kila pahala"
 
Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi bila akili towards CDM?,wewe ccm chama dola elezea utafanya nini tofauti na unavyofanya sasa kutawala Tanzania?maana viongozi wako wamekiri kuwa umasikini, ujinga, maradhi maadui hawa bado wapo nchini since walipogunduliwa na awamu ya kwanza ya utawala wenu, na mbaya zaidi binamu yao rushwa naye ananawili nchini, crude πŸ›’ imeshuka mno kwenye soko la dunia, hapa kwetu ndio kwanza inapanda bei!,diesel lita moja zambia ni less than 27ZWK, kwetu ni 3200tshs?,hii ni craze mkuu, nikiwa na 3200ZWK hii ni diesel ya kuniwezesha kunitoa Lusaka hadi Windhoek na change ninabakiwa nayo
 
CCM awamu ya sita inapambana na viporo vya matrillion ya she, lipo wazi hata kwa vipofu, tuwaombee wamalize ili wawe huru, and then tuje kupima mikakati yao mipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…