Kama mambo mazuri alipewa yeye Magu peke yake, kwanini mambo mabaya mnataka kila mtu apewe?
 
Hizi propaganda za BAVICHA, threads kila kukicha zinadurufu mada ile ile alafu moderator wanaziacha, Kwani ule mpango utaisha lini?

Kama walioiteka JF wanaamini Magu alikuwa fisadi si inatosha, mbona hamjiamini kurudia kile kile?

Unaweza ukaiteka JF lakini si akili za watz wengi, hamkujifunza wakati wa uchaguzi?
 
LEO NDIYO NIMETHIBITISHA WEWE SIO CHADEMA ILA NI SUKUMA GANG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…