Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,
Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]
Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Mkuu mbona unatumia lugha ya matusi? Kwa hiyo Mhandisi ujenzi hawezi kuwa mwalimu kwenye shule ya ufundi?Umeandika kinyesi.
Mume ni mwalim wa shule ya secondary Tanga.
Nawafahamu mkuuKumbe unawajua
Kuna maumivu fulani hivi mtu unayapata ukisalitiwa.Usipokuwa makini unaua.
Lazima watu tujifunze ku control hasira za papo hapo. Huyu itakuwa hasira zilifanya aue na baadae guilty ikamshambulia na majuto ndio maana akaona ajiue na yeye.
Ukiwa na hasira ni bora uondoke uende mbali kwanza au upate mtu wa kumsimulia kwanza.
Swali la msingi Sana,mim nahisi ni philosophy kuhusu mapenzi ni tofauti kwa pwani na balaa,niliwahi kuish mtwara kula watu wanagongeana na maisha yanaendeleaKwa nini haya mambo ya mauaji ya mapenzi hayatokei kwa wingi mikoa ya Pwani?
Kweli kabisa; vitu vidogodogo vya kupuuzia kama mapenzi maisha yakasonga wao wako so emotional.watu wa mikoani wapo serious sana na ny3ge
Kumbe uyo mwanamke kapata alichostahili kabisaJamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Na yakitokea Pwani utakuta ni washamba wa Bara wameyapeleka huko!Kwa nini haya mauaji ya mapenzi yanatokea zaidi bara kuliko Pwani??
Wabandue tu anacha na mawazo ya kuoa, pepo la kuoa likija kemea kabisaNaona mmejishuhudia wenyewe hawa ni wakutomber tuu
There is an option to ignore me but yet u choose not to. 🤣🤣🤣🤣🤣Nawe uwe mtu mzima na jaribu kuficha uchi wa akili yako. Kila mada na comment yako humu JF ni mizaha na kuongelea ngono tu.
Dah hivi mwanaume unafikaje hatua ya kuchukua mkopo kwa ajili ya mkeo? hii trust towards women mnapataga wapi?shida sio utelezi kama jamaa alishachukua mikopo kwajili yamke basi uwezo wakufikiria utakua ulikata mana akikumbuka makato ya miezi 72 bora afe MTU mwenyewe wahuni wanajizungushia tu
Mkuu huwezi kuuliza au kumuelekeza mtu kama unahisi kakosea mpaka utumie lugha isiyo na staha?Umeandika kinyesi.
Mume ni mwalim wa shule ya secondary Tanga.
Kumbe....so kule wee wajikamatia tuu mbususu icheze na de liboloSwali la msingi Sana,mim nahisi ni philosophy kuhusu mapenzi ni tofauti kwa pwani na balaa,niliwahi kuish mtwara kula watu wanagongeana na maisha yanaendelea
Ukisikiliza clip za sauti alizorekodi huyo Jerome Dah aseeeh-jamaa Hana hasira za papo kwa papo..... They were (especially him) passing through the hell.Lazima watu tujifunze ku control hasira za papo hapo. Huyu itakuwa hasira zilifanya aue na baadae guilty ikamshambulia na majuto ndio maana akaona ajiue na yeye.
Ukiwa na hasira ni bora uondoke uende mbali kwanza au upate mtu wa kumsimulia kwanza.
Mbna maelezo yanasema kuwa ni mwalim wa Secondary?? Mbna unataka kutuchanganya Sana mkuu!? Secondary sku hiz wanafundshwa na wahandisi?Mkuu huwezi kuuliza au kumuelekeza mtu kama unahisi kakosea mpaka utumie lugha isiyo na staha?
Jamaa kasomea uinjinia lakini kazi anayofanya ni kufundisha
Ni sawa na mtu aliyesomea udaktari aamue kufundisha, profession yake ya udaktari bado itaendelea kutambulika anapotajwa
Ungesema labda ni lecturer wa chuo kikuu hapo tungekuelewaMkuu huwezi kuuliza au kumuelekeza mtu kama unahisi kakosea mpaka utumie lugha isiyo na staha?
Jamaa kasomea uinjinia lakini kazi anayofanya ni kufundisha
Ni sawa na mtu aliyesomea udaktari aamue kufundisha, profession yake ya udaktari bado itaendelea kutambulika anapotajwa
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa mikoani wapo serious sana na ny3ge
hizo ni habari ,achana kabisa na damu ya mtu itakupeleka huku na huko anWananishangaza sana hawa wanaoua bila tahafhari yoyote.
Hawaangalii hata movie wala kusoma vitabu kupata ABC za kukwepa vyombo vya dola na kupoteza ushahidi.