Ni kweli Mkuu, ila anaepata athari zaidi ndio anapaswa kujilinda.

Wanawake wanakosea sana kuzalia nyumbani maana wanawadhalilisha hadi wazazi na familia zao.
 
Kwenye hii Forum search malalamiko single mothers halafu utaona kuna single mothers wangapi wameleta mada.
Mkuu jaribu kutumia hata akili za kuvukia barabara basi.

Unadhani hizo mimba kwa kiasi kikubwa walizibeba ili iweje?

Wengi wamebeba Mimba ili waolewe lakini ndio hivyo wametoswa na waliozaa nao.
 
Dah! Hatari Mkuu.

Wanawake wengi waliozalia nyumbani ukiwachunguza wana tabia za hovyo sana.

Wengi wanatamaa na hawana hofu ya Muumba hata kidogo.
 
Una hoja,usikilizwe mkuu
Hana Hoja yoyote Mkuu.

Wanawake walipewa Bikra na Muumba ili wajitunze. Wameshindwa kujitunza sawa. kwanini wazae nje?

Wanadhalilisha familia zao sana, maana unakuta anakaa kwa wazazi na hakuna inshu yoyote inayoendelea kwenye maisha yake.

Tamaa ndio zinafanya wabebe mimba nje ya ndoa.
 
Mkuu jaribu kutumia hata akili za kuvukia barabara basi.

Unadhani hizo mimba kwa kiasi kikubwa walizibeba ili iweje?

Wengi wamebeba Mimba ili waolewe lakini ndio hivyo wametoswa na waliozaa nao.
Kutwa kelele za single mothers ni kutoka kwa vijana. Kwanini mnakuwa na kiherehere nao? Mbona wao hawafungui nyuzi za kulia lia?
 
Ulayamaze fatila ahoyene🤝
 
Kutwa kelele za single mothers ni kutoka kwa vijana. Kwanini mnakuwa na kiherehere nao? Mbona wao hawafungui nyuzi za kulia lia?
Sio hawafungui. Ni Hawafungui nyuzi nyingi.!!

Wanajijua ni wakosefu ndio maana wanakaa kimya.
 
UKO SAHIHI SANA,
KWA KUONGEZA
MWANAUME ANAPENDA KUMILI MKE, NDIO ASILI YETU.
KUMILIKI ALIYEKUWA ANAMILIKIWA NA MWINGINE NI UKAKASI SANA.

ZAMA HIZI KUOA TU MKE NI CHANGAMOTO, HALAFU ETI NDIO UOE ALIYE NA MTOTO AU WATOTO😡😡
 
The same to single father
Hapana Mkuu.

Wanaume tupo wachachee sana kuliko wanawake, na pia sisi wanaume ni watoaji wakuu kwenye familia (Fedha/Kuhudumia familia).

Mwanaume kuoa ni rahisi kuliko Mwanamke kuolewa akiwa single mother

WANAWAKE JITUNZENI.
 
UKO SAHIHI SANA,
KWA KUONGEZA
MWANAUME ANAPENDA KUMILI MKE, NDIO ASILI YETU.
KUMILIKI ALIYEKUWA ANAMILIKIWA NA MWINGINE NI UKAKASI SANA.

ZAMA HIZI KUOA TU MKE NI CHANGAMOTO, HALAFU ETI NDIO UOE ALIYE NA MTOTO AU WATOTO😡😡
Huo ndio ukweli Mkuu.

Wanaume tuna Wivu sana, na pia tunataka kumiliki Mwanamke asiekuwa na mambo mengi (Including asie zaa).

Mwanamke aliezaa nje ya ndoa anafanya wewe Mwanaume uwe na wivu kwake kuliko yeye alivyo na wivu kwako (Huo ni udhaifu kwa Mwanaume).

N.b Mwanamke ndio anapaswa awe na wivu Mkubwa kwako Mwanaume.
 
Kuoa single maza ni kujishusha thamani sana
 
Hapana Mkuu.

Wanaume tupo wachachee sana kuliko wanawake, na pia sisi wanaume ni watoaji wakuu kwenye familia (Fedha/Kuhudumia familia).

Mwanaume kuoa ni rahisi kuliko Mwanamke kuolewa akiwa single mother

WANAWAKE JITUNZENI.
Wanaume mko wengi TU,lakini sio wote wenye sifa ya kuwa mume wa MTU.
Kuolewa NI maamuzi ya mtu.
Single mother asipoelewa kapenda mwenyewe.
hebu rejea Zari,shamsa,n.k
Single father mna MATATIZO pia,endeleeni kujipa moyo
 
Sio hawafungui. Ni Hawafungui nyuzi nyingi.!!

Wanajijua ni wakosefu ndio maana wanakaa kimya.
Wamewakosea kina nani? Kwanini vijana wasio na makosa wala hawawataki single mothers ndo wasemaji wao wakuu?
 
Wamewakosea kina nani? Kwanini vijana wasio na makosa wala hawawataki single mothers ndo wasemaji wao wakuu?
Wamewakosea wazazi/walezi na familia zao. Wazazi/Walezi wameshadhalilika kwa Mwana kuzalia nyumbani tena nje ya ndoa.

Elimu ni lazima itolewe hata kama unaona haina maana kwako.

Sisi wanaume tunaojielewa tunatoa elimu ili wasiojielewa wajielewe na wasitupe lawama sisi tunaojielewa kwa kuwanyima maarifa haya Adhimu.
 
Wanaume mko wengi TU,lakini sio wote wenye sifa ya kuwa mume wa MTU.
Kuolewa NI maamuzi ya mtu.
Single mother asipoelewa kapenda mwenyewe.
hebu rejea Zari,shamsa,n.k
Single father mna MATATIZO pia,endeleeni kujipa moyo
Mkuu kwanza kabisa ningependa uende Google na ku-search World population ina viumbe wangapi wenye jinsia Ke, halafu ukimaliza uangalie na jinsia Me?

Ngoja nikuulize swali Mujarabu kabsa. Hivi Mkuu kwanini wazazi/Walezi huwa wanawapa elimu watoto wa kike kujitunza wakifika Baleghe? Kama ukijibu hili swali basi hakuna mjadala wa kuuendelza hapa.

WANAWAKE TUNAWAPENDA SANA, JITUNZENI ILI UPENDO WETU UWE ZAIDI NA ZAIDI KWENU.
 
Wanaume mko wengi TU,lakini sio wote wenye sifa ya kuwa mume wa MTU.
Kuolewa NI maamuzi ya mtu.
Single mother asipoelewa kapenda mwenyewe.
hebu rejea Zari,shamsa,n.k
Single father mna MATATIZO pia,endeleeni kujipa moyo
Mkuu kati ya hao uliowataja hakuna Mwanaume mwenye akili timamu atakaemuoa Mke wa kwanza hao wanawake.

Hao labda awe mke wa pili, au aolewe na Kibenten.

Samahani kwa maneno hayo, najua kuna watu nimekwaza [emoji115]
 
Lisemalo lipo kama halipo laja Mkuu.

Wanawake Jitunzeni.
Mbona sisi hatujalalamika, tujifunze nini sasa?
Unaachana nao tu unatafuta chaguo lako kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…