Afu wakipigwa tukio wanakua na akili sana ya wanaume lakini ni too late.
 
Mbona sisi hatujalalamika, tujifunze nini sasa?
Unaachana nao tu unatafuta chaguo lako kiroho safi.
Tumeshaachana nao Mkuu, ila tunawapa vijana wenzetu elimu ili na wao waachane na hao masingle mother.
 
Kwani hao single mothers huwa wanajibebesha mimba wenyewe?
Wewe kama mwanamke ambae unajua mimba ambayo haikupangwa itakusababishia misukosuko zaidi wewe basi ndie unaetakiwa kuwa makini. Kabla ya kushika mimba akikisha mnaishi pamoja na uyo jamaa mkiwa katika mahusiano rasmi (kifamilia, kitamaduni au kidini), akikisha mmekubaliana kuzaa mtoto na uyo jamaa, uyo jamaa sio mume wa mtu na kipato chake kinaruhusu kumudu gharama za malezi vile vile baada ya kubeba na kujifungua usijaribu kumtumia mtoto kama nyenzo ya kutaka kupewa mahitaji ambayo yapo nje ya uwezo wa mwanaume au kutaka kumpanda mwanaume kichwani awe kama zezeta anaetakiwa kufanya kila unachotaka kwa kufikiri kwa sababu una mtoto wake hawezi kukuacha solemba.
 
Na ambaye amepoteza bikira yake unamuweka kundi lipi. Maana ni kwa vile alipata bahati au ametoa mimba otherwise naye angekuwa single mother.
 
Kuna wengine wajinga ambao wanakosa uvumilivu kwenye ndoa zao wanafanya ujinga adi ndoa inakufa matokeo yake wanaishia kua single moms na wanarudi majumbani kwao kuaibia kuishi na wazazi tena
 
Kuna wengine wanakua single mother wakiwa wametoka kwenye ndoa zao tena wanatoka kwa sababu za kijinga kabisa wakizani bado ni mabinti wataolewa upya matokeo yake wanaishia kua wa mtaani inauma sana wanawake inatakiwa wawe wanajielewa na wawe wavumilivu na wajue kujenga miji yao
 
Mimi nimefika umri wakua katka ndoa ni vitu gani naitaji nifanye ili kukamilisha ndoa hiyo! Maana ndio kwanza ata mpenzi Sina naomba msaada wa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…